Recent content by LIBWELA SHOP LIMITED

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hamas watekeleza ahadi yao kuwa uvamizi wa Rafah hautakuwa kama piknik kwa jeshi la Israel

    Waarabu wenyewe hawapendani, wanaishi kwa chuki kama waafrika. Hivyo hawawezi kuishinda Israel.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wanaoongoza kuinyonya Afrika sasa ni Asia, sio wazungu au Magharibi

    Ama kwa hakika tunavyo zungumzia unyonyaji katika Africa, inamaanisha ni Ukandamizaji,Uporaji wa rasilimali za Africa n.k. Hii inafanywa na mataifa yote yaliyoendelea yakiwemo ya Ulaya, Marekani na Asia. Hivyo hawa wote ni WANYONYAJI HAKUNA MZIMA HAPO.
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mhh napita tu sina cha kuchangia maana mi mwenyewe ndame na maao. Sijavuka mpaka wa Tanzania 🇹🇿 hivyo nawasikiliza waliyoona.
  4. L

    JamiiForums Tanzania M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Munaweza kweli,au ndo kujitapa tuu???
Back
Top Bottom