Recent content by Liberal

  1. Liberal

    Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    Nilitaka kutukana lakini nilipoangalia mwandishi nikatulia!
  2. Liberal

    Bunge kuamua kubambana?

    Kwa mwenendo wa utendaji wa serikali sasa unavyondelea hasa kwenye sekta ya fedha, haki za binadamu na demokrasia, ni wazi baada ya miaka michache pengine watanzania walio wengi watakuwa wamerudi miaka 50 nyuma za maendeleo kwenye sekta tajwa. Ni bunge letu ndio lenye meno ya kutukwambua. Kwa...
  3. Liberal

    Mwenyekiti wa CCM

    Hayo ndo madhara ya kutengeneza kanuni za kudumu ambazo haziendani hali ya sisa ya nchi. CCM hawakuona mbele.... "PUA IKIOZA HAINUSI TENA"
  4. Liberal

    Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Ni tetesi. Na bado mwaka huu haki ya nani.... :painkiller:
  5. Liberal

    Tabora Kumekucha

    Leo Ukawa wanaunguruma hapa Tabora katika viwanja vya Town School. Wanatoa Elimu juu ya Muungano. Waongeaji wakuu no John He he na kiongozi mwandamizi wa NCCR. Watu no wengi sana jamani
  6. Liberal

    Ubaguzi CHADEMA waanza kumea mpaka kwenye UKAWA

    Utaweweseka tu! Acha wananchi waamue! Ukiifautilia sana CHADEMA basis wewe no mwana CHADEMA indirectly. Hulali unawoga sana....na bado shexxxxxxz zenu CCM
  7. Liberal

    Kumbe St. Augustine University of Tanzania (SAUT) ni moto wa kuotea mbali

    Nimependa comments zako. Napenda ku-declare interest kwamba Mimi in mhitimu wa SAUT na sasa nina Master degree ya Linguistics. Napenda niwasaidie ndugu zangu katika chili LA ranking. Kuna vigezo vingi lakini vya msingi no research, consultancy, publications. No kweli, UDSM wanna maprofesa...
  8. Liberal

    Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

    Hisia za vijana kwa sasa ni kubwa sana. Kimsingi, nionavyo mimi, hatua ya zaidi ya 60% kukataa muundo huu wa sasa wa muungano ni reaction ya wananchi towards their gvt. Serikali imewaapuuza sana wanachi wake na mbaya zaidi ina-ignore tafiti za ndani kwa muda mrefu sasa. Tafiti hizo ni pamoja na...
  9. Liberal

    Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

    Mimi mwenyewe nilikuwa msemaji namba mbili na nilitoa hoja zilizo badilisha upepo ukumbini. Ikumbukwe kuwa, mdahalo huo ulioandaliwa na umoja wa vyuo vikuu na vya kati hapa Tabora ulikuwa wa kificho hivi. Na kama ulikuwa na agenda ya kisiasa kwani meza kuu yote ilikuwa viongozi wa CCM mkoa...
  10. Liberal

    CHADEMA yamebuma

    Kwa sisi tulioko kwenye taasisi za vyuo vikuu tunaona jinsi gani vijana wa mihemuko ya mabadiliko. Kwa utabiri wa kisomi, miaka kumi inaweza kuwa mingi kwa mabadiliko Tanzania. CCM pamoja na uzuri wake inavyojusifu...itaangua vibaya ndani ya siku chache. Ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira ni...
  11. Liberal

    CHADEMA wampongeza Rais Kikwete kwa Maendeleo wilayani Karatu

    Sasa hiyo inashida gani? Kushukuru ndio uungwana. Hiyo nayo imekuwa shida!!!! Nina wasiwasi na kurugenzi ya habari Ikulu.
  12. Liberal

    Mwl. Nyerere: Msaafu au hirizi?

    Kama nilivyosema hapo juu, mwisho wa siku watanzania hawa hawa ambao CCM wanajinasibu kuwasemea kwa kumtetea Nyerere wataamua kusema wenyewe. Muda utaamua
  13. Liberal

    Mwl. Nyerere: Msaafu au hirizi?

    Unafiki unaoendelea kwa sasa hapa Tanzania unatisha. Tusipokuwa makini tutapoteza historia yetu kama Taifa. Huu ni ujumbe kwa wana-CCM na UKAWA. Karibuni kwa mawazo huru! =========== Kwa Msomaji MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: MSAAFU AU HIRIZI? Kwanza nichukue fursa hii kukupa Hongera kwa...
  14. Liberal

    Kwanini Slaa amesema milango ipo wazi kwa anayetaka kung'oka CHADEMA?

    MSUKI, Uwambie na wenzako kama Litz na wafanyakazi wa Lumumba na Kizota. Uongozi mzuri ni unaothubutu. Hamuwapendi viongozi wakuu wa CHADEMA kwa kuwa wamegundua mnachokifanya. Mtasema sana, mtanuna sana...one thing 'Watanzania wa leo sio wa kura ya siri'. We shall do whatever it takes...2015...
Back
Top Bottom