Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

Wacha kujipendekeza kwa mods wewe,jadili mada iliyopo.
Serikali mbili haiuziki kwa jamii ya waelewa wewe.
Mods yenyewe serikali tatu sasa tafuta mahala pengine pa kulilia.

kweli kabisa watu wameamka
 
Wewe Ni mwehu

wewe mi kichaaa

Mh Fatma mwasah yuko dar Kikazi wiki mbili

hivvi Bavicha Gongo mtaamini lini kuwa inaharibu akili?

Ukichaa wako na mtambo wenu wa kutengeneza uongo utawaua.huu uzushi mpelekee mama yako na mkeo

Mods ondoeni huu uharo haraka sana

kama unawasiliana nae muulize jumamosi 3/5/2014 alikuwa wapi na akina nani na wanajadili nini....hata kama unatumwa wakati mwngine ishia njiani
 
.mods huyu kichaa Ni mwongo nimeulizia Tabora hakuna upuuzi huo wala Mh Mwasa hakuwepo kulinda heshima ya Jukwaa lambisha,ban,kwa mnywa gongo,huyu

nani uliyemuuliza, usibishe bila hoja bali amka na nenda SAUT ndo upate habari
 
Nasikia Rage aliambiwa live kuwa ni mwongo,na alipozidiwa hoja na wanafunzi akaanza kuleta mambo ya simba akazomewa.

Si SAUT-TABORA tu waliokuwepo bali na TEKU,CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA,VETA,TTC na watu wengine wengi.

kuna watu wanabisha bila hoja kama walikuwepo
 
safi sna walifikiri wapo kalenga na chalinze.hamkubaliki kw wasomi hata siku moja.kaz yenu n kuwahonga tishrt na kofia wasiojielewa

ndo hapo na nadhani walipima kwa kuingiza miguu majini badala ya fimbo sasa wameona kina ni kirefu
 
Najiuliza kitu kimoja, kwa mini TBC hawajarusha hiyo habari? Walienda kufanya nini pale sasa?
 
Wewe Ni mwehu

wewe mi kichaaa

Mh Fatma mwasah yuko dar Kikazi wiki mbili

hivvi Bavicha Gongo mtaamini lini kuwa inaharibu akili?

Ukichaa wako na mtambo wenu wa kutengeneza uongo utawaua.huu uzushi mpelekee mama yako na mkeo

Mods ondoeni huu uharo haraka sana

una hakika?
 
una hakika?

Mimi mwenyewe nilikuwa msemaji namba mbili na nilitoa hoja zilizo badilisha upepo ukumbini. Ikumbukwe kuwa, mdahalo huo ulioandaliwa na umoja wa vyuo vikuu na vya kati hapa Tabora ulikuwa wa kificho hivi. Na kama ulikuwa na agenda ya kisiasa kwani meza kuu yote ilikuwa viongozi wa CCM mkoa. Kongamano nilikatishwa na Makamba akaenda kuongea na waendesha bodaboda. So uzi huu ni kweli ingawa mkuu wa mkoa aliwakilishwa na mkuu wa wilaya ya Tabora.
 
Safi sana wanafikiri hiki ni kipindi cha kuburuta watanzania bado kinaendelea.Alisemaga Lowasa hawa vijana tunaosomesha na kazi hatuwapi hili ni bomu linalotarajia kulipuka wakati wowote,halafu leo unasikia mbunge mmoja analipwa laki tatu kwa siku moja,halow!!!
 
Hisia za vijana kwa sasa ni kubwa sana. Kimsingi, nionavyo mimi, hatua ya zaidi ya 60% kukataa muundo huu wa sasa wa muungano ni reaction ya wananchi towards their gvt. Serikali imewaapuuza sana wanachi wake na mbaya zaidi ina-ignore tafiti za ndani kwa muda mrefu sasa. Tafiti hizo ni pamoja na rasimu ya katiba mpya. I submit
 
serikali tatu itafuta mikopo yote kwa wanachuo
 
Wewe Ni mwehu

wewe mi kichaaa

Mh Fatma mwasah yuko dar Kikazi wiki mbili

hivvi Bavicha Gongo mtaamini lini kuwa inaharibu akili?

Ukichaa wako na mtambo wenu wa kutengeneza uongo utawaua.huu uzushi mpelekee mama yako na mkeo

Mods ondoeni huu uharo haraka sana

Fatma mwasa ni ndugu yangu wa karibu na alikuja nyumbani tabora siku ya jumapili kuja kumpokea naibu waziri na amerudi siku ya jumanne.
 
Wewe Ni mwehu

wewe mi kichaaa

Mh Fatma mwasah yuko dar Kikazi wiki mbili

hivvi Bavicha Gongo mtaamini lini kuwa inaharibu akili?

Ukichaa wako na mtambo wenu wa kutengeneza uongo utawaua.huu uzushi mpelekee mama yako na mkeo

Mods ondoeni huu uharo haraka sana

Hivi ulivyokunya ilikumbuka kuchamba kweli?
 
Back
Top Bottom