Recent content by LIALIA

  1. L

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    tatizo lake huyo Lau anamisifa utafikiri kakulia ushwahilini, nyambafu lofa kabisa
  2. L

    Tumewekeana dau la laki tano kwamba Lowassa anakuwa Rais baada ya October

    waulizeni CUF Zanzibar kabla ya kuweka hivyo vijihela
  3. L

    Matumizi ya Lowassa yanatisha!

    sidhani kama Azam yupo katika hili, labda hao wengine
  4. L

    Urais CCM: Zinagombewa nafasi mbili zilizobaki

    Hakika ulichokinena ni sahihi kabisa, Prof Mark lazima atinge tatu bora, he has all what it takes to make to that level
  5. L

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Hili ni Jembe, hatimaye CCM wamepata mtu
  6. L

    Wapinzani wa Lowassa wahaha na kutumia 4U fake kumchafua

    4u movementi ni kampeni sasa subirini
  7. L

    Lowassa kumzuia Serukamba Ubunge

    Serukamba anapotezwa njia mchana kweupeee
  8. L

    Wapinzani wa Lowassa wahaha na kutumia 4U fake kumchafua

    Hivi hii 4umovement siyo movement ya kampeni?just thinking loud
  9. L

    Wimbi kubwa la watangaza nia URAIS 2015, ni fashion au?

    Basically si jambo baya kwa kila mwana CCM mwenye vigezo kuonyesha nia ya kugombe urais kwani ni haki yake ya msingi kikatiba. Bahati mbaya ni kwamba si wote wenye vigezo wana uwezo. Tafsiri yangu ya haraka ni kwamba kuna makundi matatu katika hawa wote, kundi la kwanza ni wale wenye nia thabiti...
  10. L

    Mark Mwandosya Live, Sumaye Kesho

    One of the potential candidates
  11. L

    Mwandosya atangaza nia kiaina!

    Hili ni jembe, he has what it takes to be our presidaa
  12. L

    ndege ya bill clinton yatua kwa dharula

    wewe siku nyingine usije na taarifa zilizo nusunusu hapa
  13. L

    AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Haya mambo yanatokeaga nnjhii hii( aksenti ya Lyatonga) tu.
  14. L

    Livingstone Lusinde: Lowassa unahangaika na kupoteza muda kwa sarakasi zako

    Dah, amakweli kama EDO, anapanga hizo sinema basi kachemka, ni dalili za kuchanganyikiwa na kuwa mwoga asiyejiamini.
Back
Top Bottom