Mwandosya atangaza nia kiaina!

Mwandosya atangaza nia kiaina!

Tafuta nyuzi humu zipo nyingi humu tu. TTCL.....

Mkuu usisahau na ile ya vodacom kuwasomesha watoto wake katika vyuo vikuu huko Afrika Kusini! Ni wakati akiwa waziri wa mawasiliano!
 
Mkuu usisahau na ile ya vodacom kuwasomesha watoto wake katika vyuo vikuu huko Afrika Kusini! Ni wakati akiwa waziri wa mawasiliano!
Yap.....nadhani aliyeuliza atakuwa kapata jibu.
 
Sasa huyu ndiy0 mgombea........2005 aliingia top 3..ametulia sana alinifurahisha alipochangia bungeni mjadala wa escrow..hakugugumia kusema alichokiamini hata kama alijua mabosi wake hawakubaliani nacho!

kila la heri Mark Mwandosya (PhD)

Alisema kuwa hela ya ESCROW ni ya umma japo alienda kinyume na boss wake. Mtu kama huyu akipata urais tunategemea aifanyie kazi scandal ya ESCROW maana bado mbichi kabisa.
 
Ni mzuri lakini kwasasa ili nchi inyooke inatakiwa mtu radical kama Magufuli..
 
Tafuta nyuzi humu zipo nyingi humu tu. TTCL.....
Hiyo spin ya TTCL ilitengenezwa na kundi la mtandao , ambamo walioko mdarakani wamo.
Kwa ufupi si kweli, watu wamekula escrow, nini unasema bwana!
 
Nepi aghaa!!! Samahani Nape anapigania maslahi ya familia. Unataka aje awe mwanamke mfalme kama riz moja. Kashfa ipo prof aliibadilisha TTCL na elimu ya binti yake huko South Africa.
 
Angalau huyo,katulia,mnyenyekevu,na anaonyesha ukomavu mkubwa sana wa kisiasa anavyopangua hoja za wapinzani.

Jana katika bunge hakunifurahisha kwa kusema Dr.Silaa hana uzalendo kwa kuzungumzia mambo ya TZ akiwa marekani kwani aliacha kusema kuhusu kura ya maoni iliyitangaziwa nje ya nchi pia
 
Kashfa anayo tena kubwa sana nayo ni:-

Alilishwa/alipakwa/aliwekewa sumu na wana ccm wenzie akaenda kuponea india, LAKINI AMEGOMA KUWAMBIA WATANZANIA NA DUNIA KWA UJUMLA UKWELI NA UOVU WA CCM.
Hiyo ndiyo kashfa yenyewe.

Hahaaa hii nimeipenda sana ila jumla ya yote huyu anafaa na ndo maana mungu amemuokoa na hiyo sumu,me binaf namkubali sana huyu mtu
 
afadhari mgonjwa mwenye upeo kuliko wenye afya kama kina pinda.

Kwani Mr Nyooka naye kiongozi....watoto wanalia baba analia atakayemwokoa mwenzake nani....baba asiyejua majukumu yake astahili kuitwa baba..
 
Hana kashfa??? Huna taarifa zake.

Uliza kwa nini alifukuzwa ukatibu Mkuu wizara ya nishati na madini? I can't wait nitakuwa wa kwanza kumwaga hasira zangu hapa .Very arrogant piece of work yeye na waziri Pius ng'wandu.Asione watu wamekaa kimya .
 
Alishapunguza ulevi? Maana huyo baba kwa whisky hana tofauti na samaki na maji.

Hahhaaa hayo cdhan kama yanweza kutudhuru sisi! Ila tunaitaji kiongozi atakaesimamia misingi ya nchi yetu na kutupeleka mahali flani kiuchumi nk
 
Back
Top Bottom