Recent content by li sheng

  1. li sheng

    Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

    Hahaaa wanajisumbua bure tu, ila kwa hali ya tathmini ya haraka haraka upinzani uliopo unamtandao dhaifu vijijini bado hauja jidhatiti mbele ya CCM , nidhahiri yeyote atakaye pitishwa na CCM atashinda, ila kwa vile mafisi ni wengi, CCM haitafanya kosa kuwaletea mgombea kioja, fanyeni kusubiri...
  2. li sheng

    Naomba msaada wenu wana JF

    Aisee hongera, Bro na karibu sana :happy:
  3. li sheng

    Naomba msaada wenu wana JF

    Pole sana hii topic niliwahi kuijibu kwa urefu isearch thread yake bado ipo, inawezekana una UTI lakini specifically una Urethritis, kuugua kwa pipe ya kupitisha mkojo, sijui una umri gani kwa hizo dalili inawezekana pia una benign prostitic hypertrophy (BPH)/ prostitis ni uvimbe kwenye tunda...
  4. li sheng

    Nini nafasi ya Advanced Diploma East Africa?

    Wachangiaji, Nawashukuru kwa mchango wenu, ni kweli kuna vyuo vingi vina ruhusu mwenye ADV DIPLOMA kusoma Master Degree, lakini kuna vyuo hawaruhusu vile vile kama vyuo vya Medicine IMTU, Muhimbili nk, Mfano holder wa Advance Diploma ya Clinical medicine (AMO) haruhusiwi kabisa kusomea master...
  5. li sheng

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Salam, Ndugu Fungas kwa wanawake ni tatizo ambalo husababishwa na mambo mbali mbali kama unadhifu , uambukizo, madhara sehemu nyengine ya mwili, mfano sukari...nk sasa wewe sijui ni sabau gani ulipata fungus, hata hivyo si rahisi kusema kama kuna tatizo ama hapana kwa sababu maradhi yeyote...
  6. li sheng

    Msaada pleas

    Inawezekana unasumbuliwa na ugojwa wa peripheral neuritis ambao unatokana na upungufu wa Vitamin fulani fulani hasa kwenye kundi la vitamin Bs, dawa za Neurobion, neurorubin zinasaidia kuondoa tatizo hilo. NB: Sababu zipo nyingi lakini, Ulevi, kazi nzito za kutumia mikono kubeba mizigo...
  7. li sheng

    Nini madhara ya chanjo?

    Salam, hilo suali ni tata kidogo ila ntajaribi kulijibu kwa uzoefu, maana sijui hiyo sindano ya chanjo alichomwa wapi, kwa mana chanjo kuna za matone Mdomoni, na zilobaki mara nyingi ni mkononi au pajani, hivyo kuathirika mguu moja kwa moja hadi kusababisha ulemavu si rahisi. Lakini kama...
  8. li sheng

    Makamu wa pili wa rais Zanzibar hatambuliki bungeni - Makinda

    @ Wapiga debe LOL ni upuuzi mtupu, chuki, ubinafsi, Utanganyika/Uzanzibari na mbaguano kwa WaTZ wenyewe kwa wenyewe kwa kasumba ya Maslahi ya Waroho wenye Uchu wachake halafu sisi tunakaa hapa kushabikia na kuwahalalishia kuendelea kupeta, kwa mambo tusioyajua mwanzo wala yanapoendea, eti...
  9. li sheng

    Msaada mnyoo wa safura

    ​Salam , naomba nikujibu suala lako kama ifuatavyo hapo chini MNYOO: Kuna minyoo ya aina nyingi , lakini inayosababisha safura kwa binaadam ni aina mbili, ambao wanaitwa Hook worms, kitaalamu 1. Necator americanus na 2 . Ancylostoma duodenale wameitwa hook worm kwani wanandoana...
  10. li sheng

    Nini nafasi ya Advanced Diploma East Africa?

    Ndugu wana Jukwaa naomba munieleweshe nimekuwa nikiulizwa suala hili mara kwa mara ila huwa linasumbua kutoa jawabu muwafaka itokeapo kuombwa kutoa ushauri. 1.Ni nini tafauti ya Bachelor Degree na Advance Diploma? 2. Kuna uhusiano au ulingano gani wa hadhi kielimu (Equivalency), ukichukulia...
  11. li sheng

    Je, unafahamu ffu ilikotoka?

    Historia,.... ni nzuri !! Naiogopa kwa mana ina tabia ya kujirudia rudia Mkuu, ni nini maana ya "Amri halali" hasa inapofikia suala la kutoa uhai wa mtu??
  12. li sheng

    Jamani Mke hanitoshelezi nifanyeje?

    @ Snow white & etc Msijihangaishe bure, not serious/ready :violin::llama:
  13. li sheng

    Polisi nyie ndo mmeshika mpini sisi makali. Tukija kuchoka ndo utakuwa mwisho wa aman

    Salam wakuu, Mimi naona sasa tunatoka nje ya mada na tunaonesha kuelekea kwenye ushabiki ulio dhahiri au chuki binafsi, hii siyo sifa ya Jamvi hili, nahisi kuna watu wanafanya makusudi kuutia dosari ukumbi huu, kama ni watu wenye busara nahisi tungeegemea zaidi kuichambua hoja ya mtoa mada na...
  14. li sheng

    sanduku ya mufu

    kama nimakufaham umekusudia mfu ni JENEZA
  15. li sheng

    Wekeni sawa hili

    Mmhh hapa mtihani, mimi nakumbuka kuna ndizi zina mbegu, na nimewahi kusoma kwamba unaweza kupanda mgomba kwa mbegu za mgomba ambazo zimo ndani ya ndizi, hivyo ni kusema Si Sahihi, kwamba mgomba lazima upande shina. Naomba fungua kiambatanishi hichi kina maelezo na picha, kusibitisha maelezo...
Back
Top Bottom