They feel so special wengi wao wanakosaga mabwana kwa kujiweka maisha ya juu sana wakati ni sawa na na manesi tu!! sema industry tofauti maana hadi jmosi wanapiga kazi..
laki 6..ukikatwa PAYE, na NSSF inabaki kama laki 4, hajatoa daily transport (Daladala), bado misosi kwa mwenzi atabakiza ngapi? Niambieni mimi niliacha kazi hiyo sasa ninamiliki miradi mikubwa binafsi...ule ni utumwa!! @ Mkata Kiu
Anaewafunda yumo kwenye ndoa? Naomba kuuliza na kama alishakuwa na Ndoa...kaachika na anafundisha kilichomtoa yeye kwa ndoa ni nini? Naomba kuwasilisha!!
Utandawazi umetuharibu!! zamani hapakuwa na Utandawazi...Mzee anazalisha njee hujui washangaa kwenye kugawa mirathi ndio analetwa...Niwasifu tu ni kwamba walikuwa na siri kali!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.