Recent content by Lexuss

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa zamani wa IPTL walia kufukuzwa kwenye nyumba Harbinder Singh Sethi

    Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) wameiomba Serikali na Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na Harbinder Singh Sethi, anayedaiwa kutaka kuwatoa kinguvu kwenye nyumba za kampuni wanazoishi hivi sasa. Malalamiko haya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kundemba FC mabingwa PBZ Yamle Yamle Cup, Masauni awapa Sh10 milioni

    Unguja. Timu ya Kundemba FC imetawazwa mabingwa wapya wa Mashindano ya PBZ Yamle Yamye kwa kuichapa bao 1-0 timu ya Ubinadam Kazi FC lililofungwa na Abdallah IddI Pina katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mashindano hayo yalishirikisha timu 36 kutoka Unguja timu 24 na Pemba timu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Emperor Nero alivyoanzisha mateso kwa Wakristo Roma, hadi yalipokomeshwa na Emperor Constantino

    Katika maandiko ya awali ya imani ya Kikristo, Dola ya Roma mara nyingi ilijulikana kwa jina la siri na lenye maana nzito sana ya kitheolojia: Babeli. Hili halikuwa kosa la kijiografia, bali kauli ya kiroho yenye ishara nzito. Dola ya asili ya Babeli, karne nyingi zilizopita, ilikuwa imeiteka...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Watu Milioni 43 Waliohamishwa Barani Afrika Huzalisha Dola Bilioni 27 kwa Mwaka

    Mkuu wa Ushirikiano wa Amahoro Coalition, Tito Mbathi. Jukwaa la sekta binafsi la Amahoro Coalition imezindua ripoti mpya yenye kichwa cha habari “Hiding in Plain Sight: Africa's $27B Displacement Market Opportunity” inayobainisha ukubwa wa mchango wa kiuchumi wa watu waliolazimika kuhama...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rostam, Mwenyekiti Halmashauri ya Monduli kwenye kashfa ya rushwa

    Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha. Akram ambaye pia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
  8. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni ataka vitendo katika uhifadhi wa mazingira

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akipanda mti pembezoni mwa Mto Mkondoa uliopo Kata ya Kasiki Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Mei 15, 2026. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Masauni amesema Usimamizi na uhifadhi wa mazingira...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Panga pangua CCM: Dkt. Migiro kung'atuka, Wasira naye kuondoka

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa zinaeleza. Mbali ya Dk Asha-Rose, taarifa zinaeleza kuwa Makamu Mwenyekiti, Stephen Wasira huenda...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo ataka umri wa mkopo uongezwe hadi miaka 40 ili wengi wanufaike

    Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika. Akizungumzia mjadala huo, Vian...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma adaiwa kupokea rushwa ya milioni 320/- kwa mwezi

    OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, Masanja Kadashi. Tuhuma dhidi yake zinadaiwa kuanza muda mrefu ambapo Machi 31, mwaka...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa tuzo Profesa Ndunguru kwa kuboresha TPHPA

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru ni miongoni mwa wafanyakazi waliopewa tuzo ya ufanyakazi bora na Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika mkoani Njombe. Profesa Ndunguru anayetoka Chama cha wafanyakazi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya benki ya CRDB ni unyanga'nyi wa peza za watu

    Hiyo michezo hata Yas/Tigo wanayo, walishanidhulumu Sh15,000 hivi hivi
  14. L

    JamiiForums Tanzania Pambazuko: Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama bado wapo ofisini?

    Na Waandishi WETU SIKU saba zinaisha leo tangu kuwasilishwa kwa ripoti ya kuchunguza matukio mabaya yaliyoharibu taswira ya Tanzania yaliyosababisha watu zaidi ya 500 kuuawa, lakini hakuna aliyewajibika. "Katika dunia ya kuthamini utu, kujali maslahi ya taifa na utulivu wa nchi, kunapotokea...
  15. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kujichanganya kwao kama watu wasiojielewa

    Wewe ndio unajichanganya. Kuijadili hiyo report ndiyo kunawawezesha kuja na msimamo wa pamoja wa kuipinga.
Back
Top Bottom