Recent content by levo

  1. levo

    Msaada juu ya madhara ya masturbation kwa watoto wa kike

    Wooooow... Tx Amos... 4 being positive to my question... Nmekuelewa sana...u a educated...
  2. levo

    Msaada juu ya madhara ya masturbation kwa watoto wa kike

    Ni kipindi sasa ninahitaji kufahamu madhara ya masturbation kwa wasichana ktk nyanja zote. Kisaikolojia,kiafya,kimwili pia kiroho?
  3. levo

    Nampenda mume wa mtu

    Unafikir kuzaa n kama kutest engine ya gariii.[emoji19] [emoji19] [emoji19] kumbka ayo ndio maisha unayotaka kuyajaribu jaribu..na ukishazaa akakuna na mtoto wko...utakua umemkomoa nani[emoji19] [emoji19] [emoji124]
  4. levo

    Nampenda mume wa mtu

    Kwani umezipokea izo laanaa??kwann utishwe na maneno ya watu yaitwayo laana eti kisa umesimamia jambo lililo sahihi...skia my...me npo tayar kumwacha ata mpenz wangu wamiaka mingi nyuma..kisa kuanza kuishi maisha ya ndoa kabla ya ndoa...coz kwangu lina uzito usio kifan...Fanya maombi...
  5. levo

    Nampenda mume wa mtu

    Kwann kukimbilia chakula c chako??ckia mpnz wangu nkwambie..kuna muda na wkt wanandoa wanaona km wamechokana(zile hisia za mapenz mabichi km zlivyokua zaman znakua zmepungua kabsa kabsa)...ndio mana wengne hutoka nje ya ndoa ili kuitafuta ile radha ya mapenzi mabichi aliyokua akiipata...
  6. levo

    Je,hiz application via NACTE zenye deadline 06/03/2017 ni za kweli??

    Kwa kweli sijaelewa mana ukienda website nyingne ya NACTE kuna taarifa application ni march/April...majuzi nimefungua nimekutana na application zmetoka na deadline ni tarehe 6 mwezi wa 3...nmechanganyikiwa...niapply au nisubiri mwezi wa tatu..sielewi au huu ni Mtandao wezi...
Back
Top Bottom