Je,hiz application via NACTE zenye deadline 06/03/2017 ni za kweli??

levo

Member
Feb 8, 2017
7
5
Kwa kweli sijaelewa mana ukienda website nyingne ya NACTE kuna taarifa application ni march/April...majuzi nimefungua nimekutana na application zmetoka na deadline ni tarehe 6 mwezi wa 3...nmechanganyikiwa...niapply au nisubiri mwezi wa tatu..sielewi au huu ni Mtandao wezi wameuhack???nisaidien
 
unaogopa nn mbona ni applcation ni ya kwel, hii ni ile ya intake march/apr ambayo deadline yake ni 6/3/2016, usiogope fanya app
 
nacte nao wamewakazia madgo kama hauna d-4 wahi kureseat................
 
Acheni kudanganyana! Kwa kidato cha nne waliomaliza mwaka jana kwa intake hii HAWARUHUSIWI. Soma sifa za waombaji. (angalia sifa namba 1.) nacte.go.tz/en/update.php?id=1485232454&slug=KUFUNGULIWA-KWA-MFUMO-WA-PAMOJA-WA-UDAHILI-KWA-KIPINDI-CHA-MACHI-/-APRILI,-2017
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom