Imejitosheleza kwa kweliHasara ni nyingi Sana za masturbation kwa mtoto wa kike kwanza kuzikomaza sehemu zake za siri K kwa sababu ya vitu ambavyo Mara nyingi hutumia ni vigumu tofauti na uume mf mbao, tango, wengne hutumia upinde wa meza au maji ya moto hupelekea sugu maeneo nyeti, piah kisaikolojia mwanamke aliyezoea mchezo huu hatockia raha au hisia zzte akikutana na mwanaume maana ameshazoea kujimalizia haja mwenyewe tena ni hatari zaid kwa mwanamke maana kwenye hili tendo hutumia hisia zaidi hivyo ataharibu saikolojia yake piah ni dhambi japo kudhini napo ni dhambi piah
Hasara nikutupiga vibuti masela