tupeane ujuzi kidogo wanajukwaa kwa wazoefu wa haya mambo kwani nikikaa na watu walio oa wengine utawasikia kuwa hakuna ndoa ya democrasia inayodumu kwani wao wanaamini ndoa inaendeshwa kidicteta ila wengine wanaamini kuwa ndoa ni democrasia sasa upi ni ukweli wa kuendesha ndoa ni misingi gani...
Tangu mwaka 1961-2015, Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ipo chini ya utawala wa chama cha mapinduzi, mwaka 1992; upinzani uliingia nchini japo miaka ya juzi tu wapinzani wameanza kupata nguvu kisiasa na hivyo kuweza kuumbua mambo mengi ambayo wananchi wengi tulikua hatuyajui wala kuyasikia, hadi...
napata wasiwasi na uraia wa baadhi ya wanaoandika thread humo ni kweli kuwa ni watanzania halali au wanatumwa tu kupost upuuzi hapa, kama kweli ww mtoa post unaijua sheria usinge post ushuzi huu hapa sababu ukiangalia nchi nyingi za vyama vingi wenzetu wameenda mbali zaidi hadi kuzichapa live...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.