Kiwanja kinauzwa SINGIDA mjini

DIFFENDA

Senior Member
Jun 23, 2013
124
53
Ninauza Kiwanja kipo maeneo ya stend mpya kinatazama Barbara ya lami ya arusha.kimepimwa na kina docs zote
 
Kiwanja ni high density being 12 milioni. Mawasiliano 0719113012 kipo site nzuri kwa biashara ya guest house, pub au bar, car wash etc
 
Kiwanja ni high density being 12 milioni. Mawasiliano 0719113012 kipo site nzuri kwa biashara ya guest house, pub au bar, car wash etc
High density ndo ukubwa gani mkuu? Maana inaanzia 300sqm - 700. Sasa cha kwako ni ukubwa gani exactly.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom