Recent content by Letrisha

  1. Letrisha

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka Nini kuhusu maisha shule za bweni A level share kisa chako.

    Mi namiss tu maandazi ya boarding, unakaa nayo karibu mwezi yanakuwa magumuuuuuuu kama jiwe!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitahidi lakini nimeshindwa kumsamehe mke wangu mtarajiwa kwa hili

    Mmmmh kama kweli hii stori ni ya kweli, basi ameamua tu kutumia njia hiyo kukudanganya hivyo ili siku mkikutana usishangae kukuta hana usichana wake. Lakini pia haikuzuii wewe kumsamehe
  3. Letrisha

    JamiiForums Tanzania Ajali ya moto MSAMVU: Wakati tunawaangushia Polisi Jumba Bovu, Je tutaendelea hivi Mpaka lini?

    Kwa hili Police nitawatetea sana,kwa yale mafuta kama wangekuwepo pale yangetokea kama ya Singida tena maake najua wananchi ni wabishi mabomu ndo yangewakimbiza,sasa sidhani kama Polisi wa mwanzo kufika wangekuwa na hayo mabomu
  4. Letrisha

    JamiiForums Tanzania Ajali ya moto Morogoro: Itakuwa ajabu Kama RPC na Kamanda wa Fire hawatawajibika.

    Mmmh hapa mtawaonea bure, moto wa Petrol unaujua vizuri kweli mkuu!!?
  5. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wiki ya 4 Sasa Toka mke wangu mpya kutoka bukoba nipo nae (mtwara) masasi dah kuoa kumbe ndo raha hivi

    Hahahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mahusiano na dereva wa bodaboda, mbaya zaidi anamuhonga pesa zetu za akiba

    Hahahahaaa hata mi naanza kuelewa sasa vizuri
  7. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mahusiano na dereva wa bodaboda, mbaya zaidi anamuhonga pesa zetu za akiba

    Inaonekana madereva Boda Boda ni janga la kitaifa kwa sasa,sijui tatizo ni nini!? Kwa leo tu matukio mawili yakiwahusisha, ni hatari.
  8. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi anataka nibebe mimba ndio aende kwetu

    He he heee,usithubutu! Hakuna muoaji mwenye masharti kama hayo ndo akuoe. Hapo angalia sana
  9. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Pole,ulale salama
  10. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Hahaaa hiyo kiboko
  11. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Hahahahahaaa dah,itakuwa familia nzuri hiyo. Huruma family, hahaa
  12. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Itabidi urudie zamani yako
  13. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Tehee,yawezekana pia. Na we jifunze basi kuwa na huruma
  14. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Aaah hapo inategemea,utu pia unatakiwa ujue
  15. Letrisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti toka familia tajiri ni Kero kwenye ndoa

    Hahahaa we mjanja
Back
Top Bottom