Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 673
- 478
Wasalaam,
Kwanza nitoe pole nyingi kwa wote walioguswa na Janga hili kwa namna moja ama nyingine, Kisha Naomba kuwashirikisha ujumbe huu nilioukuta mahali:
Tangu Ajali hii imetokea nimefuatilia kwa kina maoni ya wadau wengi na kugundua bado hatuzishughulishi akili zetu vizuri kwasababu ya Bifu zetu binafsi dhidi ya Polisi kwa kila jambo.
WANA JF KABLA HATUJAWASHUSHIA LAWAMA POLISI HEBU TUPATE TAFAKURI KWA MASWALI HAYA!!???
1. Jeshi letu la Polisi lina VIFAA vya kuweza kuondoa Gari lililoanguka barabarani kwa ajali ?
2. Je tunafahamu undani wa muda Yaani Time interval katika tukio tangu TAARIFA kutolewa kituoni na Polisi ku respond kwenye eneo la Ajali kabla ya moto kutokea????
3. Ni Chanzo kipi cha Habari kinachoeleza Chanzo cha Moto ule ni teja??? Zipo tetesi kuwa Moto ule ulianzia kwa Mama ntilie umbali zaidi ya mita 100 toka eneo la tukio, je huko pia waliopaswa kusimamia Ni Polisi hao hao???
4. Je, tunakumbuka April 12, 2011 huko Manyoni Watu zaidi ya 20 walifariki wakiwemo Polisi waliokuwa wakiwazuia watu wasichote mafuta kwenye lori la mafuta lililoanguka ?
4. Ikiwa mafuta Yalikuwa yakichuruzika kama mfereji wa maji hizo Kamba sijui tape zingetosha kuyazuia mafuta kutembea? . JE, kosa la Polisi ni lipi hapo???
Tumepoteza ndugu zetu kwa Ajali ya Moto. Hatujapoteza ndugu zetu kwasababu ya Polisi, Fire au Ofisi ya kuzuia majanga .
TUTAFAKARI KWA PAMOJA TUNAPOENDELEA KUOMBOLEZA