Recent content by LESPERYE

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Mbona sijasikia alichosema zaidi ya kuwasalimia tu?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Nadhani huyu mzee aachiwe tu urais. Inawezekana ndiye Mungu amemchagua tusipingane na Mungu jamani.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

    Kwanini Slaa naye asichukuwe fomu ndani ya CHADEMA ? Au huko hakuna demokrasia kama wanavyojiita?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

    Kwanini huyo Slaa asiseme neno basi ili watu waache kupakaza mitandaoni? Kama ameudhika ni vyema tu akawaambia wenzake na akae kimya badala ya kubwaga manyanga.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kazi inaanza na majeshi yapo imara

    Msijifurahishe. Mungu ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kwa kila jambo. Hivyo anzeni kwanza na maombi kabla ya hayo yote.
  6. L

    JamiiForums Tanzania JK unakumbuka hii?

    Kudharau watumishi wa Mungu ni kumdharau Mungu aliyewatuma. Muwe makini vinginevyo mtapata laana.
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Inaelekea Lizaboni ni mtu wa system maana siku nyingi alikuwa akisema rais atakuwa Magufuli. Sijui alijuaje?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka 10, JK kanifanya nifurahi

    Du hii kali.
Back
Top Bottom