Hard drive
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 265
- 62
Kumbe kuzunguuka kooote unatafuta kiki hii.
Huyo jamaa chenga kweli yani
Kumbe kuzunguuka kooote unatafuta kiki hii.
Acha woga. mbona chchm wakichakachua hupigi kelele. mkuki kwa.....usimusishe Muumba kwa hawa waongo wabinafsi........mtatunga theory kibao....all in all hatutaki ya umwagaji damu kisa kulazimisha mabadiliko.....shame on y'all who believe in blood shed...tena shameeeee...this mamvi hata akishindwa oct...bado atafosi kwa vurugu..sasa who will fight ..ni nyie makabwela yeye ana fight akiwa nyumban kwenye sofa
Ndio naanza kuhisi sababu ya CHOZI LA PINDA alishanusa mbele akaona mm.... kwa mbichi hizi... Ukiona mzee mzima anatoa chozi hadharani........
nimesema Mungu ataisambaratisha ccm, sijasema Mungu atawasambaratisha watu. sisi pia hatutaki fujo wala kumwagika damu. unapoongea unaonyesha wewe ni ccm umekulia ccm na wazazi wako ni ccm hivyo umezoea kula hela za ufisadi wa ccm tangu utoto. umeishi familia ya laana kwa kuzaliwa kwenye ccm, na mmelaaniwa ninyi. mwaka huu Mungu ameshaamua kuwafutia chama chenu, anza kutafuta chama cha kujiunga mapema kwasababu pigo hili halitakuwa pigo la mwanadamu, ni pigo toka kwa Mungu mwenyewe atakayewasambaratisha kama alivyosambaratisha mnara wa babeli, na hamtaamini macho yenu. kaliseni kenya chama cha KANU kiko wapi ndio uje ulete brabraaa zako hapa.usimusishe Muumba kwa hawa waongo wabinafsi........mtatunga theory kibao....all in all hatutaki ya umwagaji damu kisa kulazimisha mabadiliko.....shame on y'all who believe in blood shed...tena shameeeee...this mamvi hata akishindwa oct...bado atafosi kwa vurugu..sasa who will fight ..ni nyie makabwela yeye ana fight akiwa nyumban kwenye sofa