Kwanza kabisa zima gari,tulia kabisa tembo huwa ataki arufu ya mafuta ya gari,na ule moshi wa gari ndio hapendi kabisa,ndio maana unashauriwa kuzima gari.
Hukua unampenda huyu dada,kama unampenda kaka zake hata wakufanyie visa,huwezi kumuacha tena ukizingatia,huyo mpenzi wako sasaivi ni mgonjwa,tumia akili kijana kupenda sio mchezo,inahitaji kujitoa kwa shida na raha.
Ndugu yangu,huyo sio mwanamke wa kuoa,inawezekana anayo mume mwingine,jamaa yako akienda kazini na yy anaenda kwa mume wake wa kweli,mwambie jamaa yako asimsogelee tena huyo dada.
Kwa kweli madereva wa Tz,masihara ya barabarani imezidi,N I T.pawe na madaktari wa kuwapima akili hawa madereva,nawapa pole wahanga wote wa ajali,na waliopoteza maisha Mungu azilaze roho zao mahali pema,wapumzike kwa amani.Amen
Hongera ndugu yetu,Mwigulu Mchemba kwa kuteuliwa kuwa waziri mambo ya ndani,tunaomba usimamie wizara kwa uweledi ulio nao,na urudishe imani kwa raia na polisi,komesha mauwaji ya raia na polisi na mauwaji ya polisi yanayo tokea kwa raia wasio waminifu,Mungu ibariki Tanzania.
Jamani ni kweli madereva dar,tunahitaji kunyooshwa kidogo,unaweza kusimama kwenye zebra ya barabara kupisha waenda kwa miguu,dereva wa gari jingine anapita nakukuangalia vibaya sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.