Recent content by LESIRIAMU

  1. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

    Tatizo la huyu Mama ni kupenda kujibu kila jambo halafu bahati mbaya hutumia mipasho ya taarabu. Napenda kumjulisha kuwa, ukimya nao ni jibu. Mama chutama!!!
  2. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Boniyai afika Polisi Oysterbay kuhojiwa, asema tuhuma za kupanga maandamano ni za uongo, aulizwe Kihongosi

    Kati ya taasisi za serikali zinazo endeshwa kwa uganga wa kienyeji ni pamoja na na polisi Huo ndio mwisho wa i temijisia yao. Kati ya taasisi za serikali zinazo ongozwa kama kibanda cha waganga wa kienyeji ni pamoja na polisi.
  3. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi hakikisheni ‘Vi-clip clip’ visirushwe, msimame kwenye mambo yenu

    Huyu Mama amesha pigwa upofu yaani haeleweki kama yule waziri wake wa mambo ya nje... 😁 😁 Ati ata toa ufafanuzi wa wa hotuba yake maana watu haja muelewa.
  4. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi ya Mgawanyo wa mali za Chama iliratibiwa na Sisty Nyahoza na Salehe Bohora aliyetumwa na Rais Samia

    Cha Muhimu ni kuwashauri Ccm next time wachague viongozi ambao ni raia halali wa Tanzania nasio hawa mamluki wanao jiita Watanzania wa chovya kama English gold
  5. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini ananyamazia matukio ya Utekaji?

    Next time Ccm wajifunze, sio kila anae ongea Kiswahili ni Mtanzania. Huyu mama hakustahili kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa sio Mtanzania. Matendo anayo tutendea hayana tofauti na ule utawala wa kisultani ulio kuwepo kule Zanzibar kabla ya Mapinduzi. Vetting iwe ina...
  6. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Wageni anaowaleta Makonda watatumika na vijana wa mtandaoni kuelezea maovu ya Tanzania

    Ccm wamuulize Drogba yaliyo mkuta baada ya ziara yake Tz
  7. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

    Makonda haja wahi kukaa na mtu ambaye hana makando kando. Maana yeye ni mwizi. Hivyo hatuta shangaa akimkataaa Mwana FA
  8. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha mmezidi

    Kuna kitu huwa nashindwa kuwaelewa hawa trafiki wa Arusha, barabara toka Sakina hadi Tengeru ni double road, na lengo la double road ni kupunguza foleni mijini, kwa kuruhusu magari kutembea,. Kwa trafiki wa Arusha ni kinyume, maana hujificha kwenye maua na kupiga touch ati speed limit ni 50...
  9. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha mmezidi

    Kila anae toka CCP ana taka kuwa trafiki. Kama hivi sasa kuna wengi sana wako training huko barabarani
  10. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha mmezidi

    Imagine mataa ya Arusha Technical yameharibika muda sasa, Hakuna attention ya police wa usalama barabarani, lakini uta kuta wame jirundika gate la kuingia chuoni oale chini ya miti wana shindana kuomba rushwa kwenye magari.
  11. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha mmezidi

    Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani. Nita jaribu kutoa mifano ya usumbufu uliopo sasa barabara za Arusha mjini baada ya Makonda kuondoka. Kama una...
  12. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania TANZIA Anna Maulidah Komu Afariki Dunia

    Maisha ya hapa duniani ni mafupi sana. Sasa mama kachukua pesa za hongo ili awakwamishe Chadema, pesa kaacha wengine waendelee kula. Leo ana pigwa kifusi. Shenzi kabisa. Nasikia kuna na mwingine kapigwa kiharusi ana subiri kuimbiwa parapanda. Mta kwisha wote,, mbwa nyie.
  13. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Utekaji, Ripoti ya Chande, imeakisi sababu zilezile za Jeshi la Polisi wanazotoa Kila siku

    Hii ndio reflection ya Mahakama zetu zina ongozwa na watu wa aina gani!! Kama hii ni ripoti ya Majaji wakuu wawili una tegemea nini hao wanao waongoza wako je??
  14. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

    Ni aibu kubwa kwa taasisi kubwa kama Uhamiaji kuwa nje ya mtandao miezi sita sasa.. Ni mapato kiasi gani nchi ina poteza? Hili nalo Mama halioni? Bado kawa Chura? Waziri wa mambo ya ndani ana fanya nini ofisini?mkurugenzi mkuu wa uhamiaji. Ana fanya nini ofisini?
  15. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

    Hapo kunadilisha jaji wame muonea aibu mwenzao maana hata hayo madai ni upuuzi
Back
Top Bottom