Recent content by leons de silves

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    Ambatanisha pia na namba za mafundi.....ni ushauri 2
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila azomewa mpaka aondoka kwenye mkutano. Wakenya hawataki ujinga

    Very perfect mkubwa..ila ukihoji utaonekana unaikosoa serikali
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila azomewa mpaka aondoka kwenye mkutano. Wakenya hawataki ujinga

    Mm sio CHADEMA ila heshimu sana mtu anaye kukumbusha kwamba pamekucha ili ujiandae na KESHO. Nawakilisha tu
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila azomewa mpaka aondoka kwenye mkutano. Wakenya hawataki ujinga

    Kwa l Lipi baya alilolifanya kupelekea kutokubalika kwa wananchi,🤔🤔
  5. L

    JamiiForums Tanzania Swali: Kama umeme unaleta hasara ukisafirishwa umbali mrefu, huo wa Ethiopia via Kenya haupotei?

    HILI JAMBO NI SAWA NA SUKARI KUZALISHWA KAGERA AFU KUPELEKWA DAR ES SALAAM KWA MKEMIA MKUU, KWA UKAGUZI THEN KULUDISHWA BUKOBA ILI IIUZWE KWANINI HUYO MKEMIA ASIPELEKWE PALIPO KIWANDA ILI KUEPUSHA HASARA KWA WAWEKEZAJI🤔🤔
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    ASANTEE MKUBWA.. WAKUBWA NA CONNECTION PIA.. katika kada ya afya endapo wezekana
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafutafuta kituo cha kujitolea nimesoma kozi ya Clinical Medicine

    Mkuu habari..na mimi nilikua nahitaj msaada KAMA TAJWA APO JUU nimehitimu 2024.Nipo na 25years old naishi nyamagana MWANZA ndani ya wiki hii ntakua tayari registered na leseni pia
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda kupata vingi kutoka kwa wanaume? Siku hizi wanapeana shule kabisa kumchuma mwanaume!

    Ndoa imeshuka thamani..kwa tamaa na sababu zisizo za msingi😎
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    ASANTE MKUBWA NALIFANYIA KAZI..
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    NAHISI APA NDO PALE PANAITWA UHURU HOSPITAL JIRANI ASLAY MIHOGO
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    ASANTE SANA ..MCHANGO WENU UNANIPA MWANGA MKUBWA SANA. MUNGU ATIE WEPESI KATIKA SHUGHULI ZENU NA ZANGU PIA
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    Pia nilipata watu baadhi wakanimbia mjini unaweza part time katika dispensary private na kuuziwa shift za night ingawa sina uhakika katika hili..VP MKUU UNALIONGELEAJE HILI,🤔
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    Mm Chief huna hela nyege zinatoka wap,🤣 au ni mimi 2 ndo nipo ivo
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    ASANTE..apo nidiili na ROMAN CATHOLIC NA KKKT ILA ISLAM SINA UENYEJI ZAIDI MAANA ATA DINI YANGU NI RC.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    🤣🤣🤣 Acha kunisthua wamefanyeje tena,🤣
Back
Top Bottom