Recent content by Leonidas Kabugumila

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wamehangaika kunifungulia Mashtaka, waliposhindwa kunifunga, Wakaamua kunipiga risasi ila Mungu kaniponya

    Pole Lissu. Ila kuna kipindi unakuwa kero kwa watanzania! Usiishie tu kulalamika eti walikupiga risasi. Kama kweli unawafahamu wafungulie mashtaka.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

    heradius12 Umechanganyikiwa na unawachefua watanzania kipindi hiki ambapo kila mtanzania mwenye akili nzuri anaunga mkono juhudi za serikali na wananchi kujenga uchumi ulio imara. Ujinga na ulimbukeni wako kuwatajatajia vitu kama IMF vyenye rekodi chafu za ubepari ni kupoteza muda wako maana...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Katiba inakupa uhuru wa kukosoa/kutoa maoni haikupi uhuru wa kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha

    La msingi hapa kila mmoja ahukumiwe kwa makosa yake lakini siyo kufanya references za nani kafanya nini na kufanyiwa nini! Ni vema ukijua fulani kafanya kosa, mimi, wewe au ninyi tumchukulie hatua stahiki za kisheria na siyo kunyosheana vidole au kufanya makosa yaleyale waliyoyafanya wao. Huo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kusimama na kuyapinga maneno ya Tundu Lissu yote aliyoyaongea kuhusu serikali

    Laiti kama Lissu angekuwa na hoja nzito yenye maslahi mapana kwa taifa tungemwelewa lakini bahati mbaya kazungumzia vitu vidogo sana ambavyo havionekani kuwa na impact hasi kwa taifa bali kwa yeye kuviibua anaincite chuki taifani pasipo sababu yoyote na huo ndio uchochezi anaodaiwa nao...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kusimama na kuyapinga maneno ya Tundu Lissu yote aliyoyaongea kuhusu serikali

    Kila mtu mwenye akili atapinga baadhi ya maneno ya Lissu ya kihalifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Hata kama siyo 2035 lakini angalau 2030 ili aweze kusimamia utekelezaji wa uchumi wa kati wa viwanda kabla ya kuingia katika awamu nyingine kisera. Ingawaje kwa kwa vipindi viwili viwili vya kikatiba akishafikia 2030 automatically huweza akaongoza hadi 2035 endapo kazi yake itaonekana nzuri bado.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wanachama kuihama CHADEMA ni pigo takatifu hilo

    Wakitaka kujitakasa wafuate masharti haya kujiunga na CCM:1. Wasafishe uvundo wa matusi, dharau na kejeli midomoni mwao. 2. Wajifunze kujenga hoja zenye maslahi mapana ya taifa kwa nguvu ya hoja na si kwa ubabe. 3. Wakome kuwa vibaraka vikaragosi wa mataifa ya kibepari. 4. Waachane na ukabila na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Toka lini yeye Lissu na genge lake wakaacha kuwa wanafiki na kukosa uzalendo kwa nchi yetu?! Mbona ni dhahiri wao huwatumikia mabepari na mafisadi wa nje? Huwa hamwoni muda wote wakijikomba kwao kupata support? Kwa wenye akili, busara na ufahamu huo ndio ukweli. Watafanya kila jitihada kuharibu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda "Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

    Exhuming the body for test could end the ongoing saga.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Itakuwa vipi endapo ripoti ya tume no2 ikitofautiana na ile ya tume no 1?

    Ripoti hizi mbili zina malengo tofauti kidogo ingawaje zote mbili makinikia na madini kwa jumla migodini. Ya kwanza imelenga zaidi kwenye makinikia na kilichomo wakati ile ya pili imejikita zaidi kwenye madini kwa jumla migodini, thamani pamoja na mikataba kati ya wawekezaji na serikali. Mwisho...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

    Diamond chini ya CCM na serikali yake amejipatia mabilioni. Atashindwa nini kulipa TRA mamilioni kujenga nchi yake kizalendo? Nani ajenge nchi kama si mimi, wewe na yeye?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Ni kweli Tanzania imenunua ndege ya Boeing 787-8 yenye line number 719

    ZZK ni kichwa cha kubwia na mchawi wa uchumi wetu. Kanuni za bunge zimuwajibishe kwa kusema uwongo au athibitishe ukweli wake.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM hizi ndo salamu zenu kutoka Moshi

    Kimaro Mushi, Dhahiri hujui siasa. Siasa za ugumugumu na kukakamaa kama hizi zako zimepitwa na wakati. Unaonesha waziwazi kwamba hata kama unadhani kwamba huna ukabila lakini kwa msimamo wako huo wewe ni mkabila tena wa kuogopwa kama ukoma! Unatakiwa uwe na siasa za unyumbufu au flexibility...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nani kama Magufuli? Hakuna na nasema tena hakuna mbadala wake

    At least for the time being, 100%, yes. His Excellency the President, Hon. Magufuli, is an International President.
Back
Top Bottom