Recent content by leoniamahela

  1. leoniamahela

    Hata umpe nini mwanamme haridhiki??

    Mmh mimi ndo sisemi tu hapo yaan cna hamu na hao binadamu waitwao wanaume... Hata umbebe mgongon asubuh na mchana atamuona mfupi atataka atest radha yake....wanakatisha tamaa hawa viumbe
  2. leoniamahela

    Feeling lonely

    Mawazo mgando rbakari2
  3. leoniamahela

    Feeling lonely

    Kimjaacho mtu ndo kimtokacho.... Kwan kila rafk lazma awe mpenzi??
  4. leoniamahela

    Feeling lonely

    Shame on u
  5. leoniamahela

    Feeling lonely

    Sifa zip ww atakaekuwa interested atanifata PM
  6. leoniamahela

    Feeling lonely

    Ni kweli my
  7. leoniamahela

    'Kibinti' cha Kapuya kina kiherehere

    Ha ha ha ha......! Mm naona hii movie tuiache iendelee ss tujionee tuuu
  8. leoniamahela

    Feeling lonely

    Habar zenu..? Nahtaj rafiki wa kiume ambae yupo single kama mimi tuwe tunachart na if god wishes tuwe wapenz hatimae tuoane... Sihitaj kuwa diss appounted jaman
  9. leoniamahela

    Hii ni nn??

    Habari zenu!! Mm ni binti nina 24 yrs nina tatizo la kusumbuliwa sana na tumbo wakati wa siku zangu nina mzunguko wa siku 28 na natoka damu siku 5 na siku zote hizo tumbo linaniuma balaa yaan hadi miguuni je dawa yake ni nn??
  10. leoniamahela

    Ushauri wa kiutu uzima muhimu jamani! No Jokes, this is serious bussiness

    My dear kuwa makini juu ya uamuz wako mm yalishanikuta miaka miwili iliyopita na najuta mpaka leo coz nilimuacha alienipenda kwa sababu ya niliempenda naumia zaid kwa alienipenda mpaka leo amekuwa playet na niliempenda ckudum nae hata miez sita mbele so kuwa muangalifu.... Kumbuka maamuz yako ya...
  11. leoniamahela

    Nimuweke kundi gani??

    Thanx all kwa ushaur wenu nitayafanyia kaz yafaayo
  12. leoniamahela

    Nimuweke kundi gani??

    Mwenzenu nina mpenzi lakini nikaja kugundua nina mwenzangu ambae walikuwa wote kwa muda mrefu lakini huyu mwanaume anasema eti hampendi yule mwanamke. Sasa nifanyeje maana anadai nimpe muda wa kumuacha. Nipeni ushauri je nimpe huo muda au niachane nae??
Back
Top Bottom