Na kweli huwezi kuwa mzalendo kwa upumbavu huu unaouandika utautolea wap uzalendo? mi nachoona we ni mmoja wa wapigaji uliyezibiwa mirija sasa unadhani na wenzako pia wanapiga. mzee tulia relax enjoy the show. utafurahi mwenyewe bado six years ndio amalize muda wake povu litakutoka sana
mawazo finyu yaan hili la Algeria na Sudan limewatia ndimu mmesahau wale wamekaa si chini ya miaka 30. Rais MAGUFULI ndio kwanza ana miaka minne kwenye Chama Giant kinachojielewa ambacho wanapokezana madaraka. Mtasubiri sana labda 50 years to come ndio mjaribu bahati yenu
Imenilazimu kuandika andiko hili baada ya kusoma barua ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Job Y Ndugai,juu ya kutenguliwa kwa nafasi ya ubunge kwa aliyekuwa mbunge wa Arumeru-Mashariki.
Sababu aliyoainisha Spika kwenye barua ni utoro wa vikao vya bunge kwa Bw Nassari. Hapa...
Naamini kwa muda aliokaa bungeni anajua procedures za kufuatwa akiwa na udhuru, sidhani kama pregnancy ni emergence that warranted him to send an email to the office of the speaker rather than following the normal channel of communication
zitto kabwe siku hizi unazidi kupoteza uelekeo hadi 2020 utakuwa umemalizika kabsa kisiasa na sidhani km utarudi bungeni wewe kwa akili zako hizo ndogo za sasa.
Mtoa mada anaonekana kuwa hana upeo mkubwa wa uelewa na anatutaka nasi kushabikia propaganda zake zisizo mshiko,wala ushahidi wowote,inaoneka kama vile anataka kuwatisha baadhi ya wajasiliamali wawe na wasiwasi na serikali yao, hizi habari inaonekana dhahiri kuwa ni za kutungwa na ndio maana...
kama kweli huyu membe nia yake kugombania urais 2020 hana nafasi kabisa yakupita ndani ya ccm labda apeleke hela zake kwa wale wafanyabiashara na walaji chadema na huko pia magufuli atamshinda vibaya mno, membe hatahivyo ni mpigaji tu.
wewe siku zote nakuambia kuwa wewe ni mwendawazimu unapost vitu bila kutumia akili mjinga wewe,elewa kuwa bohari kuu ni serikali na ndege pia ni serikali na serikali haijashindwa kabisa kulipa deni bohari mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.