Recent content by Leonard L Mbata

  1. Leonard L Mbata

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi nishaliwa dekoda yngu ya startimes ilikua inascratch fundi akasema mbovu hadi leo haijarudi na nimelipa gharama nyingi bila mafanikio nashauri linapotokea tatizo wateja wote tujulishwe kwa msg kuwa ni tatizo la kimfumo.
  2. Leonard L Mbata

    GE2020 Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu

    Sasa anapiga kampeni ughaibuni ndo watakaompigia kura? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Leonard L Mbata

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi nililipia oct 2018 channel zikawa cheche tu nmepeleka dukani hadi leo kimya,maamuzi nmebwagaaa tu,nimegundua bure sio bora hata kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Leonard L Mbata

    Unguja: Diwani wa zamani ajinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio

    Apumzike kwa Amani alikosa ushauri na kuona amefanya maamuzi sahihi
  5. Leonard L Mbata

    Kangi Lugola: Kauli ya Rais isije ikapotoshwa, hakuna anayeruhusiwa kulima kwenye chanzo cha maji

    Vp utunzaji wa mazingira? Mtego wa panya huo ndg zangu
Back
Top Bottom