Dada hivi kweli unajitambua?Mimi mkatoliki,Ila sikuungi mkono hata nukta Moja,unajitafutia laana ambayo utakuja kujuta.
Kanisa Catholic ni kanisa lililojengwa juu ya Mwamba, Wala milango ya kuzimu haitalishinda
Ni
Umechelewa kuomba ushauri.ungeomba ushauri kabla ya mkasa.sasa yanakukuta ya mtema kuni.
Maana ya mtema kuni.
Kuna mtu alikuwa akikata kuni msituni.katika kusaka kuni akakutana na bibi kizee ambaye alikuwa anataka kuvuka mto lakini akashindwa,kwa huruma ya yule mtema kuni akajidai mwema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.