Recent content by Leonard hermence

  1. Leonard hermence

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Wakuu, naombeni msaada wa kufahamu kuhusu biashara ya vinywaji vikali na laini vilevile hasara zake na faida zake ziko vipi.
  2. Leonard hermence

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nahitaji kufahamu biashara ya kuuza pombe Kali na nyinginezo kwa Bei ya jumla na rejareja faida yake iko vipi na hasara zake pia.
  3. Leonard hermence

    Chakula gani unatakiwa kula ili kukupa hamu ya kufanya mapenzi?

    Ikoje mkuu Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
  4. Leonard hermence

    Mtaji wa milioni 3 unatosha kufungua duka la dawa?

    Samahani mkuu, vipi ukichanganya dawa na vipodozi Kama mafuta na perfume nayo kisheriaaa imekaaje?
  5. Leonard hermence

    Mtaji wa milioni 3 unatosha kufungua duka la dawa?

    Vipi kuhusiana na muuzaji awe amesomea au mzoefu?
  6. Leonard hermence

    Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

    Haezi kuwa nazoo uyooo Ni Kama anapayuka bila takwimu
  7. Leonard hermence

    Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

    Shida unaongea bila vigezoo,ukieka vigezo tutakuelewa kwa namna unavosema nikama kuropoka hujuii usemalo Zaid ni ushabiki uchwaraaa.
  8. Leonard hermence

    SoC01 Maswali yanayoulizwa sana kuhusu lishe na mtindo bora wa maisha

    Somo zurii [emoji120][emoji120] Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
  9. Leonard hermence

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Sawa mkuu [emoji16][emoji16] Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
  10. Leonard hermence

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mamboo sio mabaya
  11. Leonard hermence

    Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

    Upewe ulinziii popote ulipo
Back
Top Bottom