Recent content by leo4

  1. leo4

    Prof. Lumumba: Tatizo la Afrika wenye maarifa hawana madaraka, wasio na maarifa (Vilaza) ndio wenye madaraka wanaongoza

    Kila kizazi na hukumu yake. sisi pia tutahukumiwa kwa hili Kama tunavyoona mistakes za wahenga.
  2. leo4

    Prof. Lumumba: Tatizo la Afrika wenye maarifa hawana madaraka, wasio na maarifa (Vilaza) ndio wenye madaraka wanaongoza

    Hahaha. Sasa hao wenye Ideas wataongozwaje na vilaza? Mi naamini mkoloni alitutawala kwa kua alituzidi Ideas ndio maana tulifanya butter trade dhahabu na gor/loli.
  3. leo4

    Mchungaji awalambisha viatu waumini wake Ili wapate baraka za miujiza

    Matatizo ndiyo yanapelekea watu kuamini hvyo.
  4. leo4

    Wakili Kambole: Abdul Nondo hayupo vituo vyote vya Polisi

    Nondo ni metal lkn labda hii siyo Malleable.
  5. leo4

    Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Isijefika tukaanza kurecord Sala/Swala/Maombi ktk Simu au Computer yawe yanaji-Play automatically nyakati husika ili kusiwe na haja ya kwenda kanisani au msikitini . * Kila Jambo na taratibu zake. imeandikwa Mambo yafanyike hivyo FULL STOP.*
  6. leo4

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kabisa na kamwe hatuta Vumilia Jf ifungwe.
  7. leo4

    Naombeni msaada juu ya maambukizi ya ukimwi

    Vinakua hai tena vikipata host (mfano damu) kwa hiyo ukijikata na wembe wa muathirika lazima uwe na wenge hapo vile vijidudu having totally Kama mende namshauri akapime kujiridhisha.
  8. leo4

    Uzuri wa mwanamke ni SURA na UMBILE, sio tabia, tuache kudanganyana!

    Mwanamke Bwimbwi/chura kama mitungi sio wenye vtako visivyojaa hata kwenye kiganja. Hayo maswala ya tabia Ni vtu adaptive unaweza mtransform tu.
  9. leo4

    Profesa Baregu; "Zamani Tulikuwa Tunafuta Ujinga Kwa Watu Wazima, Siku Hizi Wajinga Wengi Ni Vijana."

    Sure lakini pia hii inadhihirisha Ni jinsi gani kiongoz tulienae kazi ilivyomshinda.
  10. leo4

    Serikali yajishushia Imani kwa wafanyakazi(90%)

    NI kujiongeza tu; zipo kazi/shughuli nyingi za kujiongezea/kupata kipato badala ya kuwa na matumaini hewa yaliojengwa na ahadi hewa kwamba ipo siku isiyojulikana Watumishi watakua na maisha safiiiii.
  11. leo4

    IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Basi at least Wabunge wote wawe angalau na 1st degree maana HUKU kujua (a e i o u ) (kusoma,kuandika) tu, kwa Dunia ya sasa hapana tubadili sheria ili ndioooooooo ziwe ndio zisizokua na Shaka.
  12. leo4

    Hivi wako wapi wale wasanii waliokwenda kuupinga ubunge wa Profesa J Jimbo la Mikumi 2015

    hahahahaha....! Hawa wasanii Hawa, wakifaniliwa zuia tutadownload za kina rambo Zao zimekosa mvuto
Back
Top Bottom