Recent content by Leo two

  1. L

    Mgawanyo Rasmi wa Majimbo kwa vyama vinavyounda UKAWA

    kama wataipitia hii post. Jimbo LA masasi ni CUF wenye fursa kubwa zaidi japo chadema ilishinda sana serikali za mitaa. wakiwaachia NLD Jimbo Hilo WAMEPOTEZA!!! pia Jimbo LA Ndanda mariam kasembe hawamtaki wa ccm, mpinzani wake anayependwa na wananchi kaenda chadema tayar na akipitishwa...
  2. L

    Katika MTITI Wa Siasa: LOWASSA Leo Saa 3 Usiku Live ITV

    masikhara na imani za watu uache. ushindwe na ulegee katika jina la YESU kristo!
  3. L

    Dr. Slaa atakuwa Karatu tarehe 12 mwezi wa 8

    hivi kwanini unalazimika kumlisha Dr. slaa maneno unayotaka wewe!!? Dr. huwa yuko open sana wala haitaj reporter kumsemea jf hapa. mwacheni pliz kama ana ishu ya kuisema ataisema openly.na pia anaweza asiamue kusema lolote, yote ni sawa tu ni haki yake.
  4. L

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    mnahangaika sana na chadema aiseh. mbona huko zzm mnayo mengi sana ya kufanya!! why chadema ipo mda wote na ubongo wenu tulieni!!!!
  5. L

    UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    acheni propaganda hizo. mnatuletea hadith za mwaka 54 kuna kijana gani wa 2015 anaezitaka hizo hekaya. habari hizo kawasimulie kina mzee mwinyi, msekwa, nadhan itawakumbusha ujanani kwao. we want to make our own history. msitishe watu, mnasema Mna maarifa ya kushinda!! funny! sis hatuhitaji...
  6. L

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    duh!! hii kwa kweli nimecheka sana.ahsante sana jf.
  7. L

    Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

    matambala tu hayo yasikutishe hata mimi nimeweka ya rangi hiyo kwenye banda LA kuku nje kule.
  8. L

    Siku Dr. Slaa akisimama jukwaani kula matapishi yake ya Mwembeyanga

    we endelea kusubiri matapishi. sis ndo tunasonga hvo
  9. L

    Mfumo Tatanishi: Ujasiri Wa Lowassa, Ukiritimba Wa Kisiasa, na Mkakati Wa UKAWA

    kuna mijadala huwa naona raha sana ninapoisoma na vile inavochangiwa na wadau. huu ni mmoja wapo. a very good analysis and contributions ukiondoa mlevi mmoja alocomment ati tulikolala ndo walikoamkia wao ccm
  10. L

    Lowassa kurejesha fomu kesho

    hakuna haja ya wadhamini inatosha hivo hvo. Poa mkubwa ahsante kwa taarifa
  11. L

    St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    katoe hoja kwenye tea meeting huku wengi nadhan hawapiti kwahyo ujumbe umetufikia tusiohusika
  12. L

    NEC kuanza kutoa fomu za Urais

    mbona sioni chadema wanachukua lini. pliz hilo tukio ni lazma nihudhurie
  13. L

    Kazi ya ziada kwa Magufuli

    unaposema haijawah kutokea mtu akapata uanachama kwenye chama kikuu cha upinzani na akapewa kugombea uraisi, kwa maelezo yako ni kwamba haijawah kutokea hvo popote duniani. sasa ndio hvo imetokea Tanzania mwaka huu, sehemu nyingine watafanya reference kwamba hata Tanzania iliwah kutokea. yani...
  14. L

    Presha Kubwa Lumumba, masaa Kadhaa Kabla UKAWA Kutangaza

    sio rahisi kama unvofikiri.
Back
Top Bottom