Siku Dr. Slaa akisimama jukwaani kula matapishi yake ya Mwembeyanga

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
1,500
Miaka kadhaa imepita sasa katika anga za siasa za Tanzania ambapo Dr Slaa alisimama katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini DSM na kuwaaminisha watanzania kuwa Edward Lowassa ni kinara wa ufisadi nchini Tanzania akawataja watu wengine 10 idadi yao ikawa 11. Nasubiri kwa hamu siku Slaa atakaposimama jukwaani akila matapishi yake kwamba Lowassa ni jembe ni msafi na ndio mana chama chake kimempa fomu ya kuitaka ikulu ya nchi. Mbowe yeye ameshabwagia tapishi sasa ameshiba watz wanamtafakariiiii!!! hawapati jibu.
 

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,725
2,000
Ebu ona mwanaCCM mwenzako akijinadi kugombea Ubunge

[video]https://youtu.be/cXNIwRgWP8Y[/video]

Ona Ndugai anavyopiga mtu gongo

[video]https://youtu.be/FxcbengNRC4[/video]

Na huyu ni miongoni mwa wapiga kura wenu

[video]https://youtu.be/r_4OmWM6MNQ[/video]
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom