Ukoloni mamboleo bado unaendelea daaaaaa tutaendelea kukomaa tu bongo tz pazur mbona Kaka kubwa kaweza waache kutu nyanyasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi ni hekima na busara, maisha ya chuo ni magumu hatuna elimu bure ya migomo. Sisi tusifanye Mambo kwa kupaniki fedha Kama ipo wapewe na Kama haipo wambiwe wasije wakaanza kujiuza bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Bendera vituko cna bongo c manguo tu hayo mbona bongo hakuna upinzani c jpm baba lao mpaka mwaka atakapo choka cc hatuna shida na vyama watanzania tuna shida na afya ; maji Safi , elimu ,ajira, miundo mbinu ,na siasa Safi kwenye vyama hko kumeja chuk ,na fitina wanakupongeza hadharan...
Kuwepo nafasi ya mgombe huru hata mm nitagombea maana kwenye vyam wapo mnyungu watu 2015 ilikuwa chagua jpm na ccm tukamuamini tukampa anachapa kazi vzr watanzania hawana shida na vyama wanashida viongozi Bora waadilifu na wachapa kazi leo kuna watu ccm wanatamani magufuli aondoke madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.