Recent content by lendila

  1. lendila

    ACT Wazalendo mnasoma maoni ya wananchi kuhusu kiongozi wenu Zitto Kabwe?

    Act Wazalendo mnasoma maoni ya wananchi kuhusu kiongozi wenu zitto kabwe? Na kama mnasoma maoni ya wananchi mmegundua nini juu yake na wananchi? Someni maoni ya wananchi tafakarini na mshaurini ni mambo gani ya kuandika twiter na ni mambo gani ya kusema na wakati gani? Haya ni maoni tu sio...
  2. lendila

    Tunaanza na Tume Huru Kwanza

    Act wasijibiwe waachwe na ageja yao Wanafanya makusudi kuwaondoa kwenye hoja ya katiba mpya
  3. lendila

    Wadau kula bata kesho ni kiwanja kipi kitanoga?

    Lazima tujuwe kesho tunaenda kula bata wapi
  4. lendila

    Wadau kula bata kesho ni kiwanja kipi kitanoga?

    Wadau wa kula bata kesho ni kiwanja gani kitanoga kwa kwenda kula bata?
  5. lendila

    Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

    Zimebaki siku chache sana tumalize mwaka
  6. lendila

    Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

    Pia matumaini yamefufuka ingawa sio kwa kiwango cha kuridhisha
  7. lendila

    Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

    Tukubali tukatae kipindi hiki uchumi umeanza kufunguka
  8. lendila

    Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

    Mkuu mwaka jana sitatembelea hivi viwanja ni mwaka huu tu
  9. lendila

    Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa Dar wananchi wanafurahiya maisha sana

    Nimezunguka bar kubwa zote za mkoa wa dar wananchi wanakula raha sio mchezo. Nimeanzia maeneo ya banana Ukonga Tabata mbezi bichi mikocheni na kinondoni kwa kweli wananchi wanafuraiya maisha. Huu mwaka wananchi wanafurahiya kufunga kwao mwaka kwa amani sana. Wanashangilia uhuru wa taifa lao...
  10. lendila

    Swali kuna bar tanzania inaweza kupata wateja bila kupiga mziki?

    Nimekuelewa Unamanidha mziki mzuri
  11. lendila

    Swali kuna bar tanzania inaweza kupata wateja bila kupiga mziki?

    Nakubaliana na wewe lkn bar isio na mziki haina mauzo mengi sana
  12. lendila

    Swali kuna bar tanzania inaweza kupata wateja bila kupiga mziki?

    Hivi kuna clabu ya ndani inafanya vizuri hapa dar?
  13. lendila

    Swali kuna bar tanzania inaweza kupata wateja bila kupiga mziki?

    Wadau na wananchi nawaombeni mnisaidie swali langu Je,unaweza kufanya biashara ya bar bila mziki na ukapata wateja? Kuna katazo la kuuza bia mchana Je ,katika mazingira haya bia zitaunzwa saa ngapi? Mchana au usiku? Wizara zinazozohusika biashsara @nemc tunawombeni msaada tafadhali
Back
Top Bottom