Recent content by lenata

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series za kikorea

    Naipenda sana east of eden ila ukiwa unaangalia kaa na leso pembeni maana duh!!!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mtu akijifungua kwa operation uzao wa kwanza hawezi tena kujifungua kawaida?

    Wapo wengine anajifungua oparation af mimba mingine anajifungua kawaida
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mtu akijifungua kwa operation uzao wa kwanza hawezi tena kujifungua kawaida?

    jmn co kweli co kila mtu anaomba afanyiwe operation jmn wengine inatokea mtu anafanya mazoezi hatumii uzazi wa mpango rkn operation anafanyiwa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kusumbuliwa na tumbo

    Jaman naombeni msaada nasumbuliwa na tumbo yani linanyonga km dk 5 afu linaacha nikikaa kidogo linaanza tena yani hii ni wiki ya 3 tumbo linafanya ivo msaada pls
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuumwa tumbo kabla ya hedhi kwa muda mrefu

    Kuna dawa ya kutibu chango zaidi ya kuzaa?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuumwa tumbo kabla ya hedhi kwa muda mrefu

    Ndio nilisha wai kuzaa.ila saiz mimba c shiki hospital vipimo vyote vinaonyesha hamna kitu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuumwa tumbo kabla ya hedhi kwa muda mrefu

    Nilisha wai kuzaa tayari lakini tatizo bado afu ata mimba si shiki saizi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Kwa doctor mwaka ujipange maana pale pesa tu ukiwa napesa utapona
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuumwa tumbo kabla ya hedhi kwa muda mrefu

    Habari, Naomba msaada jamani, mimi nina matatizo huwa naumwa tumbo tarehe 25 la blidi alafu blidi yenyewe naweza kuja kuingia kuanzia tarehe 6 alafu tarehe zinabadilika badilika.
Back
Top Bottom