Kusumbuliwa na tumbo

lenata

Member
Mar 24, 2016
9
1
Jaman naombeni msaada nasumbuliwa na tumbo yani linanyonga km dk 5 afu linaacha nikikaa kidogo linaanza tena yani hii ni wiki ya 3 tumbo linafanya ivo msaada pls
 
Back
Top Bottom