Recent content by lemo j

  1. lemo j

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Vodacom wanatoa hizi zawadi?

    Nadhani mengi ya design hiyo ni matangazo yapo ndani ya browser unayotumia wanayaweka kutrack taarifa zako muhimu huwezi kushinda chochote. By the way, hao sio Vodacom na unaeza ambiwa zawadi kutoka google pia huwa sio official kutoka google kwahiyo uwe unapotezea
  2. lemo j

    JamiiForums Tanzania Swali: Je kuna watu wanapata Kazi kupitia Humu JF

    Ukitafta ww ni kazi sana kupata hadi aione mtu alie na iyo nafasi. Lakini kwa wabaofatilia kazi zinazokua posted, wanapata bila shida hivo soma sana zinazowekwa ukiiona inayoendana na ww ndio uifatilie kwa makini ila hii ya kupost CV yako hadi apatikane msamalia mwema ndio utapata
  3. lemo j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani nimlipue huyu Mrembo, alinidhalilisha sana

    Umemaliza mkuu? Au inaendelea…
  4. lemo j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana tatizo alikua na mashine kubwa

    Hujahitimisha uko upande upi asa? Au watamani kurud kwa mashine kubwa tukupe ushauri mana kiba100 nako kimekuacha
  5. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    Shukran mkuu
  6. lemo j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KERO: Mke kunilazimisha kununua nyumba na sina uwezo

    Sometimes wanawake hawaeleweki mnakua nae anaelew kila kitu kuhusu ww na kipato chako lkn atakwambia anataka kitu ambacho ana uhakika huwez kuki-afford na ukimwambia haiwezekan asubir mjipange haelewagi yan atasumbua hadi unaanza kumchukia
  7. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    Hahahq duuh
  8. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    25 mkuu, nshakaribia
  9. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    Ni mgeni mkuu, nlifungua ac but skuwah kuingia
  10. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    Hahha bado mkuu nahisi hadi kesho
  11. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    Nimekaribia mkuu
  12. lemo j

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni

    Karibu sana
  13. lemo j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume nimeshindwa kula leo kwa ajili ya mapenzi

    Mda anaokusubirisha alikua yuko mguu ndani mguu nje anachagua kwakwenda, kwahiyo endelea na mambo yako yakimkuta atajirudisha mwenyewe
  14. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    Aminia
  15. lemo j

    JamiiForums Tanzania Hamjambo!

    Asante sana mkuu
Back
Top Bottom