curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 756
- 4,589
Kuna mambo tumekuwa tukikutana nayo kwenye Internet kupitia vifaa vyetu, kama Simu Tablets, na Computer, unakutana na Notification inayosema hongera umejishindia Mf, Simu au Tv, n.k
Nam naomba kuuliza ulipokutana na kitu cha hivi ulifanya nini, na je ni kweli huwa wanatoa hizo zawadi kuna mtu humu aliwahi kupata hiyo zawadi, na kama ulipata ulipata kwa njia gani, au pia kama sio kweli ina maana hawa watu wa mitandao wanatuona sisi malofa.