Recent content by Lemmi28

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) ashikiliwa na Polisi Dodoma!

    hawa mapoliceccm wanajizalilisha sana yan inasikitisha aiseee
  2. L

    JamiiForums Tanzania Pengo mfukuzeni kanisani Mizengo Pinda

    yan mm nimejiuliza sana ivi hii kauli umetoka kwa waziri mkuu kweli au amelishwa maneno sema ukwel nimelia kwa uchungu sanaaaaa kama kweli huyu baba kasema ivo basi mungu amsamehe maana hajuwi atendalo.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    maccm wakiona hivi matumbo ya watetemakaaaaa sasa kazi kuwatumia mapoliceccm kubakiza kes fakeeeeeeeee......
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    sawa mkuu kinana mbili baridiii hahaha hii nayo kali..
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    daaa kwa huu umati sipati picha 2015.....
  6. L

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    aiseeee ya huo umati wa watu umenifanya nifurahi adi machozi yananitoka yaan huu umati adi kwenye sandaku la kura 2015....
  7. L

    JamiiForums Tanzania Polisi Acheni Usanii

    hahaha hao ndo mapoliceccm bwana lazma waunde tume ya uchunguz na hilo ndo changa la macho wakuu.....
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    kwa kwel mm nimenifurahisha sana kwa taarifa hii ila kwa pamoja tukatae huu uonevu kwa faida ya taifa..
  9. L

    JamiiForums Tanzania Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    saf pamoja lazma maccm waedelee kuaimbikaaaaa
Back
Top Bottom