Naombeni msaada viongozi..
Pikipiki aina ya Yamaha na tatizo la kuzima likiwa kwenye mwendo na baada ya injini kupoa ndio unaweza kuliwasha.
Linaweza kuwa ni tataizo gani ??
Nina komputa ya HP (desktop) inasumbua kuapdate tarehe na saa , lakini ukiiunganisha ni intaneti hua inajiapdate bila ya hivyo unatakiwa kila unapoiwasha uirekebishe mwenyewe.
Naombeni msaada wa hili tatizo wakuu.
Wataalamu, watumiaji na mafundi.
Nahitaji kuelewa kati ya jiko (oven/cooker) la GESI au UMEME lipi ni zuri kwa matumizi ya nyumbani?
Mfano wa cooker/oven
Liwe la gesi lote, yaani juu na ndani, au
Liwe juu gesi ndani meme.
Kiongozi, hizo coil ndio hiyo hiyo condenser ama ni zipi, maana alikuja fundi akajaza gesi na friji limekuwa poa sana, lakini akaniambia likivuja tena nibadili condenser...
Naombeni msaada wenu wakuu,
Nina friji/friza used kutoka UK, nimelitumia kwa takribani miaka 3 sasa na lilikuwa vizuri zaida ya jipya.
Lakini siku chache lilianza kupoteza nguvu ya uwezo wake wa kugandisha na kupooza maji, nilipomuita fundi akaniambia gesi imepungua, aliweka gesi na kuondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.