Hawa jamaa siwaelewi niliweka shs laki 1 kwa muda tofauti, nikaenda zangu India nikawaunganishwa na roaming,nilituma msg 10, nikapokea simu kwa muda mfupi sana,pesa yote ikaondoka
Mkuu wazo zuri, tahadhari, nasikia jamaa aliyebuni mita za luku ni mtz. alipopeleka tanesco wakamwambia awaachie waifanyie kazi, ndo ikabakia hadithi upande wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.