Recent content by Lembebez

  1. Lembebez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

    Kabisa. Zero brain!
  2. Lembebez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

    Kumiliki vitalu sio dhambi wala jinai, Mtanzania yeyote ana haki ya kumiliki ili mradi amefuata sheria
  3. Lembebez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

    Zero brain kama hii inaweza kumkosoa Mpina! Hajui kama mtu wa hovyo ni yeye mwenyewe anawaza chini tu
  4. Lembebez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Si lazima idadi ya majimbo ubakie nyingi hivyo, hali kadhalika posho
  5. Lembebez

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Kumbuka kuna suala la kupunguza idadi ya majimbo ya uchaguzi na posho
  6. Lembebez

    JamiiForums Tanzania Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Wamepakana na Italy
  7. Lembebez

    JamiiForums Tanzania Ludovick Utouh: Tusijikombe sana, fedha ni za Umma sio za Rais

    Kweli kabisa, niujinga ulio pitiliza kushukuru mtu anae tekeleza majukumu yake kwa fedha za umma. Mambo mengine yangepaswa kukamilika ndani ya miaka 19 tu baada ya Uhuru
  8. Lembebez

    JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Kweli hawa TANESCO akili zao zinawatosha wenyewe. Yaani kutokuwepo na mgao wa umeme miaka sita ya JPM hapakuwa na mgao wa umeme, baada ya kufariki maji ya mvua yakabadili uelekeo nje ya mabwawa ya uzalishaji umeme! Stupid kabisa
  9. Lembebez

    JamiiForums Tanzania Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

    Inasikitisha sana
  10. Lembebez

    JamiiForums Tanzania Viongozi kama hawa wanaweza kusimama imara wakati mgumu?

    Nakumbuka alikuwa na mkakati kufanya soko la bidhaa za kilimo huria ndani na nje ya nchi lakini aliingiliwa
  11. Lembebez

    JamiiForums Tanzania TANESCO lile suala la kuingiza umeme bila token liliishia wapi?

    Umeme wa kutosha
  12. Lembebez

    JamiiForums Tanzania TANESCO lile suala la kuingiza umeme bila token liliishia wapi?

    TANESCO, hivi hii iliishia wapi?
  13. Lembebez

    JamiiForums Tanzania Dar: Wahamiaji haramu wamejaa sana kuna shida gani na vyombo vyetu?

    Watanzania wako dunia nzima kiharamu na kihalali. Changamka Waitu, acha wivu na maneno mengi
  14. Lembebez

    JamiiForums Tanzania Dar: Wahamiaji haramu wamejaa sana kuna shida gani na vyombo vyetu?

    Nchi hii ni sheria gani umeona inafuatwa. Compete nao. Tumebaki kuendekeza uvivu na maneno mengi. Wacha wajimwage wahamiaji
Back
Top Bottom