Recent content by LELOSA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

    Asante sana mkuu,naombea mambo yawe mazuri zaidi ya 2012,happy new year 2013.
  2. L

    JamiiForums Tanzania TCRA: Mitambo ya analogia itazimwa kwa mkoa wa Dar es salaam tu

    Mkuu umenifurahisha hapa,mimi bado sijaelewa kwani kila mkoa una switch yake?mimi nasubiri nihakikishe inakuwaje,pia tupate uhakika wa hizi mambo za digital isijekuwa biashara kweli,wizara ingesimamia hata usambazaji na uhakiki wa hivyo ving'amuzi,wanapoachia soko huria itakuwa vurugu!na hizi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Warioba, CCM na Polisi Zanzibar

    kweli kabisa mkuu,Tanganyika yetu irudi kwanza.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    Sokoine yuko wapi na vijiji vya ujamaa,wangepelekwa hawa wahuni,hawana kazi ya kufanya nini!!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    Sokoine yuko wapi na vijiji vya ujamaa,wangepelekwa hawa wahuni,hawana kazi ya kufanya nini!!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    Wavuruga amani ya nchi wote ni kuwachukulia hatua kali,serikali iko wapi?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Serikali Legelege!!!!?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    Dr Uli kasema atatoa ushirikiano kwa tume huru!!ambayo report yake ndio ingesema ukweli wa nani alihusika hasa kumfanyia unyama ule.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Mungu awape busara maaskofu na viongozi wa kikristo,waongoze waumini wao katika njia za kulinda amani,vita vya kidini ni vibaya sana na huwa haviishi kirahisi.Wailslamu watambue vita na machafuko havitawabagua na wataathirika pia.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Pinda azungumza na watanzania nchini uingereza

    Anatafuta wawekezaji!!!
Back
Top Bottom