Recent content by Lelon Mush

  1. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Gari yangu aina ya Toyota Cami inamis dakika chache baada ya kuwaka

    Habari, Gari yangu aina ya toyota cami nikiiwasha inawaka bila shida (jino moja) ila ikikaa sekunde 25 inaanza kumis kisha inazima na ikishazima haiwaki mpaka ipite nusu saa msaada shida unaweza kuwa ni nini?
  2. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ikitokea mzigo umeharibika unafanyaje
  3. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Tecno k9 Nimebadili betri zaidi ya 3 ila bado inaleta huu ujumbe
  4. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Nimeinstall euro truck simulator 2 nikiifungua inakataa inaleta huu ujumbe
  5. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Msàada link ya mods za bongo
  6. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Desktop HP Compaq inasumbua kuwaka

    Mkuu nimebadili power supply ila bado hamna mabadiliko
  7. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Desktop HP Compaq inasumbua kuwaka

    Ok
  8. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Desktop HP Compaq inasumbua kuwaka

    Msaada desktop Hp compaq nikibonyeza batani ya power kinawaka kitaa kimoja kisha kinazima ila nikiipuriza na hot blower kwa dakika 1 au 2 nikiiwasha ina waka ila nitakapoizima tu haitawaka mpaka niipulize tena.
  9. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Msaada iphone 5s Inasumbua

    Habari nina iphone 5s nikiweka mtandao wa 4g ama 3g nikipigiwa simu inakuwa busy nakuwa siwezi kupiga wala kupigiwa ila msg natuma ila nikiset mtandao wa 2g simu zinaingia na kutoka kama kawaida.
  10. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Dell optiplex 780

    Nimechomoa ila bado inaishia hapohapo
  11. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Tatizo la no sevice kwenye iphone 6+

    Msaada ipho 6+ mnara haupandi inaleta huu ujumbe (your iphone cannot make and receive calls or access mobile data until it has been updated)
  12. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Dell optiplex 780

    Msaada nikiwasha kompyuta yangu inaishia hapo
  13. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula cha kuku

    Dar
  14. Lelon Mush

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula cha kuku

    Kama wakala
Back
Top Bottom