Recent content by LellozWho

  1. LellozWho

    CRDB badilikeni, tutawakimbia sana msipoangalia

    DIASPORA account $ to $ 3 months of account opening request tena kwa mbinde. Sijawahi kukutana na upuuzi wa namna hii. Mpaka kupeana ahadi za kupelekana kwenye sheria ndipo wakafungua account Mara ya kwanza kufanya deposit ya $50 tu for a start as a trial, nikapigwa. (Imani yangu ilikua na...
  2. LellozWho

    Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili

    Hii ni tamaduni ya mtanzania. Kama hili ni tatizo na tunakemea Basi nchi nzima ina shida.(asilimia kubwa) Ndio mana kasi ya maendeleo kwa vijana wengi iko low pace. Kikubwa hapa umeongelea tabia za wengi hapa. Ujasiri wako tu ndio ushindi. Na hakuna aliyekupongeza kwa Hilo. Tumia uo ujasiri...
  3. LellozWho

    Kauli ya “Nchi za Wenzetu” ni kwa lipi hasa?

    WATANZANIA TUSITUMIE NENO HILO WAKATI TUKIJUA WAZI HALINA UHALISIA Sababu zangu kusema hivi ni sehem kuu 1 (kwa Leo) 1/ USALAMA BARABARANI Najua wengi tunafaham kuhusu hili suala. Ajali nyingi zinatokea na zitaendelea kwasababu ya ufinyu wa elim/ufaham na uwajibikaji/UWAJIBISHWAJI. Nimeweka...
  4. LellozWho

    Wizi tiketi za Boti kwenda/ kurudi Zanzibar

    Soma tena maelezo yangu.
  5. LellozWho

    Wizi tiketi za Boti kwenda/ kurudi Zanzibar

    Sijui Kama sijakuelewa.. Kukosa umakini kuchunguza ticket ni sababu ya wao kutapeli?
  6. LellozWho

    Wizi tiketi za Boti kwenda/ kurudi Zanzibar

    Nilitegemea kuona mawazo ya ubishi lakini yote sawa ni kawaida ya Mtanzania. Kuhusu vishoka nalijua Hilo. Mpaka nikalileta hapa mtambue nimeona umuhim wake. Lakini wengi apa naona wanajua kuna utapeli na wamekubali kua ndio life style/mazoea. Lolote kubadilika katika jamii linaanzia kwa mtu...
  7. LellozWho

    Wizi tiketi za Boti kwenda/ kurudi Zanzibar

    Imenikuta. Na lazma niliweke wazi kwa wengine isiwapate kirahisi. Nianze na ushauri •Hakikisha uko na ticket yako mapema kabla ya saa ya safari. •Hakikisha gharama uliyotoa ni sawa na iliyoandikwa kwenye ticket (kabla hujaondoka dirishani/counter) Kwanini na jinsi gaki wanakuibia...
  8. LellozWho

    Naomba kueleweshwa kuhusu real estate

    Sijajua hapa dharau imeingia wapi! Lakini naona utakua ni fundi. Mpaka nahitaji ushauri sidhani Kama dharau imehusishwa hapa. Naamini hakuna anaejua bishara bila kuhusisha mlinganisho wa gharama. Bahili hawezi anza real estate. Mimi nimeshaanza. (Umeona utofauti?) Asante kwa muda wako kijana.
  9. LellozWho

    Naomba kueleweshwa kuhusu real estate

    Nilihitaji ushauri kwa mwenye ujuzi wa hii tasnia. Ushauri uwe wazi niuelewe. Asante kwa muda wako kijana.
  10. LellozWho

    Naomba kueleweshwa kuhusu real estate

    Asante sana. This changed my perspective.
  11. LellozWho

    Naomba kueleweshwa kuhusu real estate

    Habari..! Nimeingia kwenye real estate mwaka huu. Naamini wengi wenye ujuzi mtanielewesha juu ya hili. Nina property moja imenipatia ukakasi sana hasa upande wa ufundi. Kila nikihitaji fundi aje kunipatia gharama yake ya ufundi na mahitaji ya kazi Basi inanilazimu nimlipe. YANI YEYE AJE...
  12. LellozWho

    Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Ilinibidi niende mwenyewe kukutana na mwenyeji wangu na nilioneshwa maeneo husika na kuonana na wamiliki halali,nikaridhia na kufunga biashara.
Back
Top Bottom