Recent content by Lello199

  1. Lello199

    JamiiForums Tanzania Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii.

    Sawa mkuu tushajua una kazi, hongera sana endelea kuchapa kazi kwa bidii ili bosi asipate hasara. Intelligent businessman ni Mwenyekiti wetu wa Majobless pro max
  2. Lello199

    JamiiForums Tanzania No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

    #NDOA NI UTAPELI #NDOA NI UKANDA WA GAZA #KIJANA SHITUKA
  3. Lello199

    JamiiForums Tanzania No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

    Kopi ifike kwa Mwenyekiti dronedrake
  4. Lello199

    JamiiForums Tanzania Mbona sijamwona Mbowe kwenye shughuli ya kuchangisha fedha CHADEMA?

    Walisema alikula pesa za JOIN THE CHAIN hivyo anaweza akala na hizi😀
  5. Lello199

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Lissu imefifia kisiasa

    Maandamano lini?
  6. Lello199

    JamiiForums Tanzania Haujengi kwenye kiwanja chako kwa sababu uliyemkabidhi akulindie kakichezea

    Tukijenga wote nani atakaepanga?,,,,kwanza unajengaje duniani wakati tunapita? Wacha tuwekeze kwenye biashara.
  7. Lello199

    JamiiForums Tanzania Impunzi zikomeje kwiyongera ziva i Goma

    Hivi mkuu Marie Antoinette kiswahili kinapanda?
  8. Lello199

    JamiiForums Tanzania Abacancuro barwaniriraga DRC basabye u Rwanda inzira ibacyura

    Oya sio poa
  9. Lello199

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

    Mtu mrefu alinusa harufu ya kipigo
  10. Lello199

    JamiiForums Tanzania Trump: USA Iko tayari Kusaidia Ukraine ila kwa kubadilishana na Madini Mkakati. Hakuna cha bure

    Trump kamatia hapohapo, hakuna cha Bure!
  11. Lello199

    JamiiForums Tanzania VIdeo: Wabunge wa Marekani waandamana hadi mbele ya jengo la USAID wakitaka misaada irudishwe haraka, wataka Elon adhibitiwe!

    Nawakaribisha hao wadau huku mtaani, Intelligent businessman bila shaka chama chetu Cha Jobless Pro max kitapata wanachama waunga mkono juhudi
  12. Lello199

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

    Sio Machame?🤔
  13. Lello199

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

    Watu wa Narumu Huwa wanaongea Kichaga Cha kibosho. Hii inekaaje mkuu?
Back
Top Bottom