Recent content by lekitoshi

  1. L

    Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Naungana na mawazo yako, piga chini
  2. L

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    naamini ile kujaa mikutanoni na kutojitokeza kura kwa ss basi
  3. L

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    asanteni wadau for the updates hata sie tunaotumia vimchina at least tumejua kilichojiri mwanza, dar jmosi uzinduzi wa kampeni.
  4. L

    Interview meneja wa SACCOS

    kama ningekua mm ningeogopa nn au nan kushindwa kuuliza? wamepita wengi tu hapa wamechungulia wametulia nyie ndo mnajifanya kila kitu lazima mchangie! kwanza inaonekana hamna chochote mnachojua, mtu anaejua jambo haangalii nani alietoa maada bali anaangalia mada! nendeni mkanye mkalale!
  5. L

    Interview meneja wa SACCOS

    Kuna ndugu yangu kapewa taarifa ya kuhudhulia ktk interview ya nafasi ya Meneja wa SACCOS moja hapa dsm, naombeni mnipe kile kinachoweza kuulizwa kwenye hiyo interview wadau! pls pita kimya kama huna msaada.
  6. L

    Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    acha kuongea upumbavu.mburula ww!
  7. L

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    habari zenu wakuu, ninatoa msaada wa cheti cha bima kwa wale wanaotaka kufungua biashara ya wakala wa bima. kwa anehitaji anipm.
  8. L

    Polisi Updates

    lini tena jamani, si walichukua mwaka jana wakati watu wanamaliza chuo?
  9. L

    Wakala wa Bima

    mdau nimechelewa sana kuona post yako, nina maelezo mazuri kuhusu kufungua agency ya bima, cz nina dream kama zako na kama isingekua suala la mtaji basi ni siku nyingi ningeshafungua. naomba nitupie email kwa houlier1984@gmail.com then nitakupa no yangu ya simu kwa mawasiliano zaidi.
  10. L

    Nisaidie kazi yoyote naangamiza familia jamani.

    naamini kwenye forum hii kikubwa utakachopata ni ushauri zaidi kuliko kupatiwa kazi, ukijaribu kufuatilia sana hapa utaona wengi ni wetu ni job seekers na tunajaribu sana kusaidiana kwa kupeana habari na ushauri wa jinsi kupata ajira kama vile kuitwa, maswali etc kuhusu interviews. Usimsahau...
  11. L

    Namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipatia sehemu ya kujishikiza

    hongera, endelea kumuomba uongezewe mshahara
  12. L

    Afanye kazi uhamiaji au aendelee na kazi ya Bank Teller wake?

    kwani wakati ana apply uhamiaji alikua anafikiria nn kama angepata? nikifikiria watu waliowagwa huko uhamiaji ambao wako mitaani alafu ww una kazi na unawazibia majobless chance then eti unataka ushauri,hicho kidogo ulichonacho wengi hawana, ifike muda ss nafasi zinaztangazwa ziwaexclude ambao...
  13. L

    Afanye kazi uhamiaji au aendelee na kazi ya Bank Teller wake?

    kwani wakati ana apply uhamiaji alikua anafikiria nn kama angepata? nikifikiria watu waliowagwa huko uhamiaji ambao wako mitaani alafu ww una kazi na unawazibia majobless chance then eti unataka ushauri,hicho kidogo ulichonacho wengi hawana, ifike muda ss nafasi zinaztangazwa ziwaexclude ambao...
Back
Top Bottom