Recent content by Lekirua

  1. L

    Website ya Mkoa wa Arusha ni kichefuchefu

    haiwezi kuwa km 15 kwa vyovyote vile Nnko
  2. L

    Website ya Mkoa wa Arusha ni kichefuchefu

    Leo nilishawishika kufungua website ya Arusha City Council kwaajili ya kupata taarifa za msingi hasa kuhusu kata na idadi ya watu na ikiwezekana majina ya viongozi wa sasa; kilichonishangaza ni aina ya taarifa nilizokutana nazo kama ifuatavyo; Kuna taarifa ambazo ni irrelevant Data ambazo...
  3. L

    Nyalandu atangaza nia urais 2015

    ni aibu kwa mtizamo wangu hata jimbo limemshinda siku hizi kila mtu anadhani anaweza kuwa rais
  4. L

    Baba Anaendesha Harmer na Baba Mwenye shati la kuchanika

    Katika kutafakari habari za matokeo ya serikali za mitaa rafiki yangu mmoja amenieleza kwanini CCM imeanza kupoteza na kwamba itaendelea kupoteza siku zijazo...ametoa mfano ufuatao: kati Baba anaendesha Hummer amevaa mikufu ya dhahabu halafu amebeba watoto wake wenye kwashokoo kuwapeleka...
  5. L

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Tanzania inahitiji watu wenye mawazo mmbadala kwenye serikali na hata kwenye vyama vya kisiasa! najaribu kumfikiria Paul Makonda kumfanyia fujo Judge Warioba kwa kauli moja nasema siyo sawa...kwanza makonda ni mtoto mdogo haifai yeye kumfanyia vurugu Mzee Warioba, pili CCM inajinsibu kuwa Nchi...
  6. L

    Tanzia: Lema kafiwa na mama Mkwe wake

    Pole Lema na familia yote! Mungu awafariji
Back
Top Bottom