Katika kutafakari habari za matokeo ya serikali za mitaa rafiki yangu mmoja amenieleza kwanini CCM imeanza kupoteza na kwamba itaendelea kupoteza siku zijazo...ametoa mfano ufuatao:
kati Baba anaendesha Hummer amevaa mikufu ya dhahabu halafu amebeba watoto wake wenye kwashokoo kuwapeleka hospitali na Baba ambaye amechafuka matope akitokea shambani na shati limechanika amemshika mwanae mkono kumpeleka shuleni kumuomba mwalimu avumiliwe kwa mda akauze pamba au kahawa ndo alipe ada nani atapata heshima kwa mwanaye?
kuna watu wamepoteza matumaini hawaoni faida ya kuwa na serikali na fursa ambazo wanathani wangeweza kuzipata bado zinabanwa.
nini maoni yako juu ya mfano wa huyu rafiki yangu