Recent content by lekinno

  1. lekinno

    JamiiForums Tanzania Wanaume wotee sawa tu

    Duuuuu pole kumbe bado unateseka, Pole sana Mery,
  2. lekinno

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Watakuja wakumwaga ngoja giza liingie, muda huo ndio wengi wanaperuzi
  3. lekinno

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanamke wa kuoa

    Huku mtandaoni kuna kamchezo mkuu mwanamke usiyemjua ni hatari sana kuishi nae, jitahidi kupita mitaani au kazini au msikitini/kanisani utawapata wengi ambao unajua wapi chimbuko Lake na wapi unaweza kuanzia kumchunguza kwa wazazi, marafiki, ndugu na jamaa, ila kwa hapa mtandaoni jiandae...
  4. lekinno

    JamiiForums Tanzania My last hope ( mwenza wa maisha)

    Kama 10, alafu wote tabia moja hamna mwenye afadhali, afu wengi wao wanaigiza, wengi wao hawapo serious, wanachotanguliza mbele papuchii kama mlaku umekwenda
  5. lekinno

    JamiiForums Tanzania My last hope ( mwenza wa maisha)

    Ila kuwa nao makini wengi wao ni wabovu humu
  6. lekinno

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi.

    Nlichopenda umeandika kwa adabu sana
  7. lekinno

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Vipi umeshafanikiwa kupata kazi?
  8. lekinno

    JamiiForums Tanzania Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

    Ila kumbuka mke anatoka kwao na tabia zake na mume anapaswa kushape tabia yake iwe kwenye mwelekeo fulani
  9. lekinno

    JamiiForums Tanzania Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

    Dada umeshapata mume?
  10. lekinno

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Wanakaribishwa sana
  11. lekinno

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Aleast 4m ndio utaona faida kiasi
  12. lekinno

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI

    Ntafute whatsapp kwenye namba hii 0765596933, usichelewe
  13. lekinno

    JamiiForums Tanzania Ushauri mapenzi yananitesa

    Tafuta mwanamke ambae anaweza kufanya kitu kikaonekana au anaeweza kukushauri kuhusu maisha, achana na mwanamke ambae hawazi kuhusu kesho, pia tafuta mwanamke aliepitia maisha yaani umri wako na wake usipishane sana Hapo mnaweza mkakaa ndani mkapanga kitu na mkaelewana, kingine usiende bar au...
  14. lekinno

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Tangazo lako halijakamilika mkuu, kwahiyo unataka wa jinsi gani ,jinsi zote mbili ni fresh tuu?
Back
Top Bottom