Recent content by lekam

  1. lekam

    Mke wangu amenitusi kwenye simu

    Wakuu habari za kushinda Naombeni ushauri maana leo nimeshangaa sana mke wangu baada ya kutofautiana kidogo ananiambia niache usenge. Tulioana tangu 2016 na nilipomwoa alikuwa hana kazi wala kitu. Leo hii ana maisha mazuri sababu nilimpa na mtaji wa biashara. Tuna mtoto mmoja nahisi...
  2. lekam

    Aibu kwa kijana uliepewa mkopo 100% na Serikali kuishambulia na kuizushia

    Eti digrii ni kiwango kidogo sana cha elimu.... Pumbavu wewe. Alafu ni wajibu wa serekal kusomesha vijana wake ili watoe Huduma... Wazee Wetu walisoma bure
  3. lekam

    Asili na Chimbuko la Makabila Yote Tanzania na Africa

    Historically your right ...umechanganya kidogo Waafrika wamegawanyika katika makundi makuu manne kulingana na lugha zao. Bantu people ...hawa ndio wengi,wachaga,wasukuma,wazaramo nk...lugha zao zinashahabiana sana .. Nilotic people-wanatokea bonge la mto Nile ni wafugaji sana - mf...
  4. lekam

    Charles Kimei atangaza kustaafu Ukurugenzi CRDB mwaka 2019

    Kweli kabisa. Alafu wengine huku ni mashabiki maandaz. Shumbe kimei Utumishi wako umetukuka.
  5. lekam

    Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

    Kusimama kwa lissu Leo ni kusimama kwa demokrasia Tanzania, ni kusimama kwa haki na ukweli, Ni uthibitisho kwamba Mungu yuko upande Wetu na hajatuacha kwani amemtuma Joshua (lissu) kutuvusha Jordan kwnda Canaan... Hakika utawala wa kiladhimu,madavu,utekaji,udikteta na ukanda utaanguka kwa...
  6. lekam

    DR Congo: Makazi ya Rais Joseph Kabila yateketezwa kwa moto

    Tunataka kabila atoke kwa kitu
  7. lekam

    Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!

    Huyu akuja kwa upepo wa lowasa alikuwepo kwny chama kitambo we sema mafuriko yalifanikisha kwa kiasi kikubwa. . Although he sold himself very cheap
  8. lekam

    Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Daktari wa tiba ..ni bwana Mdogo tu alikuwa pale seriani arusha
  9. lekam

    Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Huyu Molel ni alikuwa mbunge wangu kule siha na wakat huo nikiwa home tulimpigania akaingia Tena kwa kura nyingi 22 Kwa 18 elf dhid ya mwandri Ila hakuwa mwanasiasa ila dkt wa sirian arusha ...amenunuliwa .... Cjawahi ona Masai asiye na msimo kama huyu laiyoni.... Nimeumia mno
  10. lekam

    Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

    Umenikumbusha yangu 2014... samahani mpenzi naomba kujua ujauzito wang una muda gan?
  11. lekam

    Kauli za waliokuwa viongozi wa upinzani waliohamia CCM

    Ni njaa tu na ubinafsi
  12. lekam

    Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

    Nyumba zake iliuza... I nataka za wanaume Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom