Recent content by legendss

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wale tuliosoma advanced mathematics -pure- ni topic gani ilikutoa povu na ipi uliionea

    Topology & discrete mathematics Post sent using JamiiForums mobile app
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwl anatafuta kazi wa mathematics

    Ninayo furaha kuwa ndugu zangu kuna kijana anatafuta kazi ya ualim amemaliza bachelor ya ualim wa hisabati phone number 0687424743
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hali tete mjini Iringa maji yakatika

    Ni siku ya tatu mfululizo maji hayatoki, wenye mamlaka waliahidi siku mbili lakini mpaka leo hakuna maji, waziri njoo utusaidie.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

    Lupela yako ni tanzanite au?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

    Nauliza jamani eti jux amemaliza uko China na fani gani? Naomba msaada
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zimetoka?

    Week ijayo
  7. L

    JamiiForums Tanzania The university of lringa ( Tumaini University at Iringa) special thread

    Karibuni wadau chuo kipo poa sana haswa haswa course ya bachelor of education ( mathematics) karibuni!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ajira 15000

    Naomba wana jamii wenzangu niwaulize hivi zile ajira 15000 za Ku replace wafanyakazi wenye vyeti vyeki zimetimia au idadi imekuwa covered full?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msanii Jux amaliza masomo yake nchini China!!!

    Bachelor? Masters? Au PhD? Au diploma? Au certificate,?? Mkuu type jibu
Back
Top Bottom