Recent content by Legend joba

  1. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    The big problem nowadays learning materials na tools Zipo Nyingi sana lakini hii generation si ya kupenda kujifunza
  2. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

    Vipi wewe ndio developer ?
  3. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Kinachowasumbua wengi kupata majibu mazuri kwenye AI yoyote Ile ni poor prompting.watu wanaandika short prompt,unclear prompt alafu wanakuja kulalamika kuwa baadhi ya AI hazina majibu sahihi . 1 First of all master prompting 2 jua strength ya AI IPO wapi kila AI chat ot in strength sehemu Fulani...
  4. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuona messages zilizofutwa WhatsApp 'view once' utaziona

    Apo kufungiwa account na whatsup ni suala la muda
  5. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Kupata hisia au mtazamo wa kuona kitu cha kuvutia (illusion) ukiwa macho kabisa, bila kutumia dawa za kulevya au pombe, ni dalili au tatizo la afya?

    Hii Mara nyingi inachangiwa na vitu Kama mtu kutokubaliana na Hali halisi aliyonayo ( escape from reality), pia stress inachangia
  6. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Apo chukua usafiri bakiza Kam 100 k chukua Tecno ama infinix
  7. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Kupata hisia au mtazamo wa kuona kitu cha kuvutia (illusion) ukiwa macho kabisa, bila kutumia dawa za kulevya au pombe, ni dalili au tatizo la afya?

    Hii Mara nyingi inachangiwa na vitu Kama mtu kutokubaliana na Hali halisi aliyonayo ( escape from reality), pia stress inachangia
  8. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Kupata hisia au mtazamo wa kuona kitu cha kuvutia (illusion) ukiwa macho kabisa, bila kutumia dawa za kulevya au pombe, ni dalili au tatizo la afya?

    Hii ni fantasizing au day dreaming ambapo mtu unakuwa unafikiri vitu ambavyo kiuhalisia havipo
  9. Legend joba

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Hao ni morani usiombe ukutane nao wakiwa wametoka kwenye tohara
  10. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Dorothy Gwajima na Kitila Mkumbo mnashindwaje kuweka chuo kikuu au tawi hapa Singida ?

    Sasa kwa Nini kijengwe chuo kikuu kingine ukanda wa Kati apo si kuna saint Joseph na udom vinatosha kabisa
  11. Legend joba

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Watoto wa siku hizi kuwanyima kutumia simu ni ngumu sana hoja ya msingi ni nanna gani unaweza kucontrol namna gani watoto wetu wanatumia simu Kama kuset parental control kwenye simu
  12. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha demokrasi kuharibika nchini ni awamu ya tano

    sitetei ccm lakini kwa dunia ya sasa demokrasia pamoja na human rights vimeleta uharibifu sana ndo maana hata LGBTQ communities zinaexit na zimeanza kwenye nchi ambazo tunaona ni role modal kwa demokrasia
  13. Legend joba

    JamiiForums Tanzania Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

    Nowdays watu wengi hawapo interested kuangalia bunge kuna namna limetoteza mvuto hasa baada ya kukosa wapinzani
Back
Top Bottom